President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,010
- 93,371
Hii hapa huwa inanifirisha sana.
Kwanza, ningependa ku-address kauli ya request yako. Uzalendo wangu na realness yangu vinahusiana na nini na swali lako? Yaani unamaanisha kuwa kwasababu msimamo wangu uko kinyume na wa hayati Magufuli ndio maana mimi sio "real" ama mzalendo? Viongozi sio watakatifu na sio miungu na sio malaika. Baadhi ya policy zao sio effective and well thought out. Kwa hiyo mimi kuwa na msimamo tofauti na ule wa Magufuli kuhusi hili jambo haimaanishi kuwa mimi sio mzalendo kwa Tanzania, bali inamaanisha kuwa nina mawazo mbadala.
Okay, sasa twende kwenye sababu zangu za kupingana na sera ya kuwafukuza shule watoto wa kike waliopata ujauzito. Tanzania ipo sheria iliyopitishwa mwaka 2002 inayoruhusu ufukuzaji shule wa wanafunzi wanaofanya makosa kinyume na maadili (ngono) na pia wanafunzi wanaoingia kwenye ndoa. Na Magufuli alipoingia madarakani akashinikiza sheria hii kwa maneno yake mwenyewe kuwa hatoruhusu mwanaunzi yeyote aliyepata ujauzito kurudi shuleni. Lakini pia nataka utambue kuwa kauli hii ilikuwa kinyume na ilani ya CCM ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 iliyojikita kutengeneza mazingira ya kuwasaidia watoto waliopata mimba waweze kurudi shuleni.
Arguments zangu zimegawanyika kwenye vipengele viwili:
1. Ubovu wa sheria tajwa
2. Hasara zitokanazo na kufukuza shule watoto waliopata ujauzito
Kwa akili ya haraka haraka utaona tatizo la sheria tajwa hapo juu. Tukiweka pembeni tendo la ngono kati ya watoto kwa watoto (kwasababu hii ni consensual most of the time), "makosa kinyume na maadili" yanayokabili watoto yanahusisha watu wazima wanaoshawishi watoto wa kike na kuwapelekea kupata ujauzito, na pia kuna kesi za ubakaji. Kwa hiyo hata kama mtu mzima akimpa mimba msichana wa shule kwa ulaghai wa pesa ama chakula (kumbuka umasikini unachangia kwenye ulaghai), bado sheria itamfanya mtoto afukuzwe shule. Na sheria hii kandamizi bado inamlazimisha mshichana aliyebakwa na kupata mimba kuachishwa shule japokuwa kosa halikuwa lake! Pia usisahau kuwa sheria hii inawalenga watoto wa kike wanaoolewa wakiwa shule. Kwa hiyo hata zile ndoa za kulazimishwa na wazazi ( hizi sana sana hutokea kwenye jamii za vijijini), bado mtoto atafukuzwa shule. Na ndio maana mkisikia watu wanataka katiba mpya ujue mambo ya katiba ya sasa ni mabovu kiasi hiki.
Magufuli alikosea kushinikiza ufukuzaji wa watoto wa kike waliopata ujauzito shuleni na pia alienda kinyume na ilani ya chama chake mwenyewe. Obviously, he was very old-school ama kwa lugha ya mtaani mnaita "mkoloni." Na pia Magufuli alikuwa very religious, kwa hiyo mambo ya mimba shuleni kwake aliona ni kama dhambi. Na hivyo moja kwa moja akatoa kauli ya kusimamisha masomo wale watoto wa kike wanaopata mimba wakiwa shule. Suluhisho lake lilikuwa na nia ya kuleta hali ya uoga kwa wanafunzi nchi nzima ili wasijihusishe na matendo ya ngono ambayo hupelekea ujauzito. Lakini tatizo hili ni complicated sana kwasababu matendo ya ngono kati ya wanafunzi sio sababu pekee inayopelekea mimba za utotoni. Kama nilivyoeleza hapo juu, kuna umasikini, kuna ubakaji, na pia kuna mila na desturi za ndoa za utotoni. Na bila kusahau, jamii na familia zetu za kitanzania hazitoi elimu kwa watoto kuhusu ngono. Unakuta mzazi anamuacha mtoto ajiongoze mwenyewe kisa anaona aibu kuongea naye wazi wazi kuhusu mambo haya.
Ukimfukuza mtoto wa kike shule, unamsindikiza kwenye shimo la umasikini. Na cycle ya poverty inaendelea kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto na haitaisha, unless kuwe na some sort of luck. Kiufupi approach ya Magufuli inalenga "kukomesha" ili kutoa fundisho kwa wengine. Lakini ukiangalia kiundani unamkomesha mtoto chini ya miaka 18 ambaye hana chochote cha kumuendeleza kimaisha maana ni mtu tegemezi. It's pathetic! Akitoka hapo anaweza hata akafukuzwa nyumbani kwao na unakuta anaishia kujiuza au kuuza karanga ili amlishe mtoto wake. Sio umasikini huu?
Kutokana na data za TAMISEMI, kumekuwa na ongezeko la watoto wanaopata mimba wakiwa shuleni. Kwa hiyo hii idea ya kufukuza mwanafunzi shule haina effect katika kutokomeza tatizo au kulipunguza.
Nitatoa mapendekezo yangu baadae tena. I am a very busy man.
Kama chama chake kilikuwa na na nia ya kutengeneza mazingira ya kuwarudisha watoto shule Mbona sheria ingebadilika tu. Maana bungeni majority ni CCM! Ni yeye tu ndiye alikuwa na mawazo binafsi.Sasa ulitaka Magufuli avunje sheria ya bunge kwa kuwaruhusu wajawazito kusoma darasani kinyume cha sheria?
Tunawatesa sn, tuliwaambia elimu imetusaidia Watz wakabisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]When nyang'aus learns that Tanzanian artist scores 4millions views a day in their country n their own artist r given a middle finger in their motherland.
View attachment 1765933View attachment 1765933
Yaani 4m views kwenye youtube per day ni kubwa Sana mkuu,hii ni taswira mbaya Sana kwa wasanii wao na ni aibu!Tunawatesa sn, tuliwaambia elimu imetusaidia Watz wakabisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani ata Kama Napenda Tanzania kusema ukweli huwezi kucompare Nairobi na Daresalam kwa list moja labda ucompare na Soweto ya South AfricaTunawatesa sn, tuliwaambia elimu imetusaidia Watz wakabisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla hujaongea kama wazimu ...toa fact kwanin unahisi Nirobary ni better than DAR-ES-SALAAM?Yani ata Kama Napenda Tanzania kusema ukweli huwezi kucompare Nairobi na Daresalam kwa list moja labda ucompare na Soweto ya South Africa