Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The Journey is Not long Daresalaam itakuwa a Clean Mega City,Kenya ikizubaa,Lakini kwa sasa Nairobi na vumbi yake kila kona iko mbele Bado
Sio usafi tu pekee bali Dar iko mbele ya Nairobi kwa ss sema tu mmechelewa kuujua ukweli ndio maana mnapata shida kuingiza hii vocabulary mpya kwenye vichwa vyenu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza, ningependa ku-address kauli ya request yako. Uzalendo wangu na realness yangu vinahusiana na nini na swali lako? Yaani unamaanisha kuwa kwasababu msimamo wangu uko kinyume na wa hayati Magufuli ndio maana mimi sio "real" ama mzalendo? Viongozi sio watakatifu na sio miungu na sio malaika. Baadhi ya policy zao sio effective and well thought out. Kwa hiyo mimi kuwa na msimamo tofauti na ule wa Magufuli kuhusi hili jambo haimaanishi kuwa mimi sio mzalendo kwa Tanzania, bali inamaanisha kuwa nina mawazo mbadala.

Okay, sasa twende kwenye sababu zangu za kupingana na sera ya kuwafukuza shule watoto wa kike waliopata ujauzito. Tanzania ipo sheria iliyopitishwa mwaka 2002 inayoruhusu ufukuzaji shule wa wanafunzi wanaofanya makosa kinyume na maadili (ngono) na pia wanafunzi wanaoingia kwenye ndoa. Na Magufuli alipoingia madarakani akashinikiza sheria hii kwa maneno yake mwenyewe kuwa hatoruhusu mwanaunzi yeyote aliyepata ujauzito kurudi shuleni. Lakini pia nataka utambue kuwa kauli hii ilikuwa kinyume na ilani ya CCM ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 iliyojikita kutengeneza mazingira ya kuwasaidia watoto waliopata mimba waweze kurudi shuleni.

Arguments zangu zimegawanyika kwenye vipengele viwili:

1. Ubovu wa sheria tajwa
2. Hasara zitokanazo na kufukuza shule watoto waliopata ujauzito


Kwa akili ya haraka haraka utaona tatizo la sheria tajwa hapo juu. Tukiweka pembeni tendo la ngono kati ya watoto kwa watoto (kwasababu hii ni consensual most of the time), "makosa kinyume na maadili" yanayokabili watoto yanahusisha watu wazima wanaoshawishi watoto wa kike na kuwapelekea kupata ujauzito, na pia kuna kesi za ubakaji. Kwa hiyo hata kama mtu mzima akimpa mimba msichana wa shule kwa ulaghai wa pesa ama chakula (kumbuka umasikini unachangia kwenye ulaghai), bado sheria itamfanya mtoto afukuzwe shule. Na sheria hii kandamizi bado inamlazimisha mshichana aliyebakwa na kupata mimba kuachishwa shule japokuwa kosa halikuwa lake! Pia usisahau kuwa sheria hii inawalenga watoto wa kike wanaoolewa wakiwa shule. Kwa hiyo hata zile ndoa za kulazimishwa na wazazi ( hizi sana sana hutokea kwenye jamii za vijijini), bado mtoto atafukuzwa shule. Na ndio maana mkisikia watu wanataka katiba mpya ujue mambo ya katiba ya sasa ni mabovu kiasi hiki.

Magufuli alikosea kushinikiza ufukuzaji wa watoto wa kike waliopata ujauzito shuleni na pia alienda kinyume na ilani ya chama chake mwenyewe. Obviously, he was very old-school ama kwa lugha ya mtaani mnaita "mkoloni." Na pia Magufuli alikuwa very religious, kwa hiyo mambo ya mimba shuleni kwake aliona ni kama dhambi. Na hivyo moja kwa moja akatoa kauli ya kusimamisha masomo wale watoto wa kike wanaopata mimba wakiwa shule. Suluhisho lake lilikuwa na nia ya kuleta hali ya uoga kwa wanafunzi nchi nzima ili wasijihusishe na matendo ya ngono ambayo hupelekea ujauzito. Lakini tatizo hili ni complicated sana kwasababu matendo ya ngono kati ya wanafunzi sio sababu pekee inayopelekea mimba za utotoni. Kama nilivyoeleza hapo juu, kuna umasikini, kuna ubakaji, na pia kuna mila na desturi za ndoa za utotoni. Na bila kusahau, jamii na familia zetu za kitanzania hazitoi elimu kwa watoto kuhusu ngono. Unakuta mzazi anamuacha mtoto ajiongoze mwenyewe kisa anaona aibu kuongea naye wazi wazi kuhusu mambo haya.

Ukimfukuza mtoto wa kike shule, unamsindikiza kwenye shimo la umasikini. Na cycle ya poverty inaendelea kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto na haitaisha, unless kuwe na some sort of luck. Kiufupi approach ya Magufuli inalenga "kukomesha" ili kutoa fundisho kwa wengine. Lakini ukiangalia kiundani unamkomesha mtoto chini ya miaka 18 ambaye hana chochote cha kumuendeleza kimaisha maana ni mtu tegemezi. It's pathetic! Akitoka hapo anaweza hata akafukuzwa nyumbani kwao na unakuta anaishia kujiuza au kuuza karanga ili amlishe mtoto wake. Sio umasikini huu?

Kutokana na data za TAMISEMI, kumekuwa na ongezeko la watoto wanaopata mimba wakiwa shuleni. Kwa hiyo hii idea ya kufukuza mwanafunzi shule haina effect katika kutokomeza tatizo au kulipunguza.

Nitatoa mapendekezo yangu baadae tena. I am a very busy man.
Suala la mabinti waliopata ujauzito kurudi shule sio sawa, Jpm alikuwa sahihi. Halifai. Mpende msipende labda tu mlioshe oshe lkn sio sawa.
 
Tukimaliza phase zote 5 za BRT tutakuwa nchi ya mfano Afrika hii, mind u treni ya umeme mapema mwaka huu itakuwa ina operate, yn mtu anatoka Europe anatoka pale JNIA anapanda BRT mpk Pugu anadandia nyoka wa umeme all the way anapotaka kwenda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri BRT ya Town to Airport na ile ya Morroco to Mwenge hadi Mlimani city, waboreshe design za vituo pls
 
Unalalamika sana, unajua maana ya huu uzi kufunguliwa.? Nairobi has nothing special, na wala haijaizidi dar, ili kuthibitisha hayo ndio maana ya hii battle kiwepo, Kenyans mlete hoja zenu kwanini Nairobi ni better kuliko dar alaf na sisi tanzanians tulete hoja zetu kwanini Dar ni bora kuliko Nairobi, sasa hizo story zako za kitoto kama unamhadithia bibi ako humu usilete, humu ni uwanja wa wasomi na watu werevu ambao tunabishana kwa hoja, aidha iwe kwa picha, maandishi au video kwasababu kuona ni kuamini..
Hakuna battle hapa, ni blind patriotism on display from the south. Inferiority complex at its best.
 
Suala la mabinti waliopata ujauzito kurudi shule sio sawa, Jpm alikuwa sahihi. Halifai. Mpende msipende labda tu mlioshe oshe lkn sio sawa.
Wanataka tuanze kuwasililiza watu wa NGOs ambao kwa kiasi kikubwa wapo kimaslahi zaidi, inapofika suala la utaifa hakuna kupepesa macho tuataambiana ukweli kwamba kuna mambo hatupaswi ku compromise bali ni kupeana black and white tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Screenshot_20210428-055628.png

1619580100290.jpg


ichoboy01 blah blah eti "sisi tuko na company ya kujenga meli.." si mjenge huko huko kwenu😂😂😂😂😂.,
 
Angalia Barbara zinazojengwa Nairobi ata Thika road pekee inashinda Barbara za TZ Zote mpaka inawekwa BRT humo Ndani bila kubomoabomoa Yani Barabara imeundwa ikaundika si kuchapa lami kwa mchanga pekee na kuanza Kunengua,Sasa Kenya kuna express way,commuter rail,na etc Yani TZ Bado Iko Nyuma,
Hivi Nairobi kuna barabara ngapi za 3 lanes? Usisahau Tanzania we have a Super quality Electric Standard Gauge Railway
 
Hakuna battle hapa, ni blind patriotism on display from the south. Inferiority complex at its best.
Tuwe inferior kwenye huu ufukara? 😅😅😅

Mpaka leo serikali inajenga mud public premises 😂

Most of your politicians are hiring choppers to access their constituencies because of lack of roads Halafu mnasema mna kilometers 2000k za lami 🤣🤣🤣🤣
 
Hakuna battle hapa, ni blind patriotism on display from the south. Inferiority complex at its best.
Na kweli hakuna battle, cc tayari tupo level yetu tuna infrastructures ambazo only zipo Europe, tuna electric sgr, tuna functional brt nyinyi hamna, ss battle inatoka wapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Suala la mabinti waliopata ujauzito kurudi shule sio sawa, Jpm alikuwa sahihi. Halifai. Mpende msipende labda tu mlioshe oshe lkn sio sawa.
Usiseme tu kwanini jambo fulani ni Sawa. Eleza sababu ambazo zinalifanya jambo hilo Liwe sawa. Watanzania wengi sio watu wanaopenda mijadala. As in kuzungumzia jambo kwa kulitazama kwa pande tofauti (different perspectives) ili kuona Faida na hasara zake. Mtu akishasikia hoja za wengine basi anashikilia msimamo huo huo. No wonder many people here are NOT intellectually curious! Natumaini wewe sio mtu wa namna hiyo. Basi nieleze kwanini Magufuli alikuwa sawa.
 
Angalia Barbara zinazojengwa Nairobi ata Thika road pekee inashinda Barbara za TZ Zote mpaka inawekwa BRT humo Ndani bila kubomoabomoa Yani Barabara imeundwa ikaundika si kuchapa lami kwa mchanga pekee na kuanza Kunengua,Sasa Kenya kuna express way,commuter rail,na etc Yani TZ Bado Iko Nyuma,
Nairobi ni thika road tu? [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom