Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania inajaribu kujijenga Lakini wivu itawaua musione mwenzenu ako Juu mthani mko ligi moja No,Nairobi iko level yake Ukweli na ata mkikataa mnajua ukweli,Jitahidini Lakini msidharau mwenzenu kwasababu ako vizuri kuwaliko iyo unaitwa wivu na asiyeitikia kushindwa si mshindani
 
New Selander bridge
3B8677CC-BEA8-4BD7-B9FE-7592F706804E.jpeg
681BA100-9784-4458-B15D-AE3A060EF277.jpeg
 
Angalia Barbara zinazojengwa Nairobi ata Thika road pekee inashinda Barbara za TZ Zote mpaka inawekwa BRT humo Ndani bila kubomoabomoa Yani Barabara imeundwa ikaundika si kuchapa lami kwa mchanga pekee na kuanza Kunengua,Sasa Kenya kuna express way,commuter rail,na etc Yani TZ Bado Iko Nyuma,
 
Ata Kenya wasitie kiburi mpo Nyuma kwa Usafi,Daresalaam Ni Mji Safi sana haina TakaTaka kila Kona hapo ndipo Nairobi inangukia kwa kivumbi
 
Ata Kenya wasitie kiburi mpo Nyuma kwa Usafi,Daresalaam Ni Mji Safi sana haina TakaTaka kila Kona hapo ndipo Nairobi inangukia kwa kivumbi
The Journey is Not long Daresalaam itakuwa a Clean Mega City,Kenya ikizubaa,Lakini kwa sasa Nairobi na vumbi yake kila kona iko mbele Bado
 
Tanzania inajaribu kujijenga Lakini wivu itawaua musione mwenzenu ako Juu mthani mko ligi moja No,Nairobi iko level yake Ukweli na ata mkikataa mnajua ukweli,Jitahidini Lakini msidharau mwenzenu kwasababu ako vizuri kuwaliko iyo unaitwa wivu na asiyeitikia kushindwa si mshindani
Kwa jinsi unavyoandika wewe unatokea Kunya land..Akuna mshamba wakuweka profile pic yake JF zaidi ya mtu kutoka Kenya😂
 
Hamna bus la Mercedes Benz lina windshield screen ya namna hiyo!

Ona tofauti! Nipe design ya hilo bus ni-google!

conecto-teaser-01.jpg
Nambie mkurugenzi kutoka mercedes[emoji23][emoji23], narudia tena kuna tofauti ya benz na geza ulole[emoji2960][emoji2960]
 
Ona bus la BRT hilo safi kabisa mtoto huyo mTz shombe shombe, hapo alikuwa anashuka mm napanda, mm niko hapo mbele nachukua picha kwa mbali unaweza kuniona ila huwezi nijua mana sionekani vzr, Wakenya ona mafanikio tuliyofikia, co nyie mpk leo mnapanda chai maarage [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1765902

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona km "una matege vile, yani umekaa km mzururaji"[emoji23][emoji23]
 
Mko mbele kwa lipi?? Weka Basi terminal ya Nairobi hapa...Weka BRT ya Nairobi hapa...Weka three level fyover ya Nairobi...Weka cable bridge hapa..
Mulisa bana[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza ulipotelea wapi mjuba
 
Yani ata Kama Napenda Tanzania kusema ukweli huwezi kucompare Nairobi na Daresalam kwa list moja labda ucompare na Soweto ya South Africa
Unalalamika sana, unajua maana ya huu uzi kufunguliwa.? Nairobi has nothing special, na wala haijaizidi dar, ili kuthibitisha hayo ndio maana ya hii battle kiwepo, Kenyans mlete hoja zenu kwanini Nairobi ni better kuliko dar alaf na sisi tanzanians tulete hoja zetu kwanini Dar ni bora kuliko Nairobi, sasa hizo story zako za kitoto kama unamhadithia bibi ako humu usilete, humu ni uwanja wa wasomi na watu werevu ambao tunabishana kwa hoja, aidha iwe kwa picha, maandishi au video kwasababu kuona ni kuamini..
 
Angalia Barbara zinazojengwa Nairobi ata Thika road pekee inashinda Barbara za TZ Zote mpaka inawekwa BRT humo Ndani bila kubomoabomoa Yani Barabara imeundwa ikaundika si kuchapa lami kwa mchanga pekee na kuanza Kunengua,Sasa Kenya kuna express way,commuter rail,na etc Yani TZ Bado Iko Nyuma,
Barabara kama thika road na zingine zinazofanana na hiyo tunajenga and still sisi tuna barabara za mwendokasi (BRT) hilo ni gap tayari tunawapiga, kwenu huko hakuna barabara za BRT ila mnajitahid kupaka rangi Lanes za thika road ili itumike kama njia za BRT , commuter rail DSM pia zipo, na sio reli za mjini tu tz kuna hadi reli za abiria za mikoani tena route ni nyingi kuliko kwenu KE, huo umbele unaozungumzia ambao mponao ni upi.? Au wewe ni mgeni humu.? okay okay, jitahid kutenga muda ufuatilie hii battle utapata kujua mawili matatu kuhusu vilivyopo bongo, vinavyojengwa kwa sasa na vinavyotarajiwa kuwepo tz, stay tuned .. yo Tanzanians msimbeze kijana huyu, inaonekana ni mgeni tuendenae taratibu
 
Tanzania inajaribu kujijenga Lakini wivu itawaua musione mwenzenu ako Juu mthani mko ligi moja No,Nairobi iko level yake Ukweli na ata mkikataa mnajua ukweli,Jitahidini Lakini msidharau mwenzenu kwasababu ako vizuri kuwaliko iyo unaitwa wivu na asiyeitikia kushindwa si mshindani
Kwa maneno matupu bila ushahidi mbn kweli mpo juu ila kiukweli kabisa kwa ss ni aibu kulinganisha jiji chafu na jiji safi, ni aibu mno [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20210427-185135.jpg
Screenshot_20210427-185110.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani ata Kama Napenda Tanzania kusema ukweli huwezi kucompare Nairobi na Daresalam kwa list moja labda ucompare na Soweto ya South Africa
Dar ina electric SGR Nairobi hamna,

Dar ina BRT Nairobi hamna,

Dar ina Masoko ya kisasa Nairobi hamna,

Dar ina Machinjio za kisasa Nairobi hamna,

Dar ina three level interchange Nai hamna,

Dar ina cable stayed bridge (mtasema Nairobi haina bahari, excuses as usual [emoji1787][emoji1787])

Ila Nairobi ina Fellis Wheel Dar hamna [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dunia hii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia Barbara zinazojengwa Nairobi ata Thika road pekee inashinda Barbara za TZ Zote mpaka inawekwa BRT humo Ndani bila kubomoabomoa Yani Barabara imeundwa ikaundika si kuchapa lami kwa mchanga pekee na kuanza Kunengua,Sasa Kenya kuna express way,commuter rail,na etc Yani TZ Bado Iko Nyuma,
Nyie mna commuter rail au upuuzi? Jengeni wacheni upumbavu, cc tunayo commuter rail ya mkoloni kama nyie lkn tuna mpango wa kujenga mpya yn yetu wenyewe na co ya mkoloni alafu tujisifu eti tuna commuter rail ni upumbavu.

Mind u, hakuna infrastructure yoyote iliyopo Nairobi zen ukaikosa Dar ila kuna infrastructure zipo Dar but Nairobi hamna kama unabisha twende kazi ila kama haubishi basi tuache [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom