Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio nimeshapata chai. Huwa hatusemi kunywa chai.
Vitu ambavyo unaweza kunywa ni vya baridi kama soda, maji, pombe, sharubati nk.
Sasa upo tayari na mpambano au unagwaya!?
Chagua sector gani unaimudu.

Kwa sababu tumeona mengi sana humu itakua vizuri kama tutapost vitu ambavyo upande wa pili wanaweza wasiwe nazo.
 
Sometimes I think that religion, especially Christianity, does a lot more bad than good in Africa. What on earth is this? The brainwashing effect that the so called “spiritual leaders” have on people is absolutely insane. No matter how bizarre and unorthodox, anything they say or do is perceived as noble and right by their followers.

 
1619426638411.png

Utofauti wetu na wakenya ndio huu hapa.
 
Mama anamsikiliza Kikwete. Unamsikilizaje mtu aliyefail? Miaka 10 umeme vijiji 2018, wakati Magufuli "Jembe" miaka 5 vijivi 8300. Ingemchukua Kikwete miaka 40 kufanya aliyofanya Magufuli kwenye umeme kwa miaka 5.

Vyama vya upinzani kikubwa wanafanya ni kudhoofisha serikali iiliyo madarakani. Utafanya maridhiana mpaka lini, tena upinzani kama huu wakijinga wa Lisu, Mbowe na Zitto? hawana jema na hupinga kila kitu, karibia kila jambo litataka maridhiano na wakishashtuka wewe ni legelege kama Kikwete lazima wakuendeshe.

Africa inahitaji maendeleo ya haraka sana, na sio siasa kwa sasa. Ni mjinga tu ndio anafikiri anaweza kwenda na vyote: siasa na maendeleo Africa hii.

Major opposition parties in Africa are surrogates of western imperialists, western countries have a full control of those parties.
The bitter truth.
 
Kwa Afrika, demokrasia siyo kipau mbele. Maendeleo yakiongezeka, ndiyo tutaanza kufikiria democracy.
Kama alivyosema Dr. Slaa, demokrasia ya kimagharibi imekwisha choka. Kwa mujibu wake demokrasia tunayohitaji siyo ile ya kufurahisha vikundi kadhaa vya watu (NGOs, vyama vya siasa, wanaharakati, wahisani, nk?). Bali demokrasia iliyoanza kuchipua kwetu katika kipindi cha miaka mitano iliyopita ndiyo kitu tunakihitaji Afrika. Yaani kwamba demokrasia ni kuwa na serikali inayowatumikia watu na kuiongoza jamii kuamua aina ya maendeleo inayotaka pasi na kuingiliwa na jamii nyingine.
 
Hakuna mahala nimesema upinzania au demokrasia haifai "kabisa". Nilisema "Upinzania huu".

Democrasia sio kuwa na vyama vingi. Demokrasia ni uhuru ambao wote tunao na sijui wewe kazi unayofanya umechaguliwa na nani, ama nani alikuchagulia nini usomee or nani uwe ukiwa mkubwa, or umoe nani or utembee na nini - hii ni uhuru ndio demokrasia.

Uhuru unamipaka.

Hakuna chama mbadala wa CCM Tanzania, hakipo, labda kama unamakengeza ya kimtazamo. Hakuna chama mabadala wa CCM Tanzania, vyama havina hata ITIKADI wala hujui nini wanasimamia.
I wish watu wangeelewa nini unamaanisha. Yaani kwamba hatuhitaji mpinzani anayeenda kuiwekea nchi yake pingamizi kwa wakopepeshaji ilhali anajua hiyo pesa inaenda kutumikia wananchi! Hata hao mabosi zao hizo kitu kwao hawafanyi.
 
Hao akina Mdee watamchafua sana spika...iweje wanawang'ang'ania na barua walishapewa kutoka kwenye chama chao kwamba wameshafukuzwa
Mkuu, wewe unajuaje kuwa wamefukuzwa! Walipewa muda wa kukata rufaa kuutetea uanachama wao na wakautumia vema. Mbowe (simshabikii hata kidogo) ila ni political genius. Hapana mahali panathibitisha kuwa wamefukuzwa uanachama. Mbowe anajua vizuri sana namna ya kucheza na hivi vitu;

1. Maslahi yake kiuchumi chadema,
2. Misimamo na akili za wanaharakati,
3. Biashara (ya kisiasa) na serikali. Alifanya vema wakati wa awamu ya kwanza ya mzee wa Msoga. Na atafanya tena awamu hii ya pili ya mzee huyo aliyerudi ulingoni.
 
Kama nilivyokwambia kwenye post iliyopita, hivi vyama vya upinzania Tanzania havipo kwa maslahi mapana ya taifa, ni maagents wa nchi za magharibi. Sasa, kwa sera ya maendeleo aliyokuja nayo Magufuli ni ngumu kuwaacha wawe huru, amini nakuambia.

Lazima ujiulize kwanini nchi za magharibi wanashinikiza sana mfumo wa vyama vingi Africa, unafikiri mfumo huo wanaoulazimisha kwetu ni kwa kututakia mema? HAPANA. This is specifically meant: to reach us and unseat a democratically elected president through ( competitive politics ) political strategy.

France, Uingereza, USA kuna vyama vingapi vya siasa? angalia Africa.

Who finances all these political parties, and what is(are) the motive(s) of doing that?
Baada ya mwamba kupumzishwa huwa najifariji kwa kumsikiliza Kagame. Kwenye mdahalo na Mo Ibrahim Foundation alisema "Inaonekana tatizo kiongozi kukaa muda mrefu madarakani huku akifanya mambo ya maana, lakini hukuna tabu ikiwa viongozi watakuwa wakiingia na kutoka bila kufanya chochote cha maana".

Binafsi siyo tu siupendi upinzani tulionao bali siungi kabisa mkono kitu kinaitwa demokrasia. We need to invent our own way of leading our nations. Pa kuanzia tunapo. Magu alianza kutujengea msingi mzuri kwa kuanza kuondoa maccm maslahi na kuanza kupandikiza wazalendo wa ukweli.

Pia alisisitiza viongozi wa umma na chama kuwa wawazi na utajiri wao badala ya kufanya chini chini kama ilivyokuwa kwa miongo kadhaa.
 
[emoji3][emoji3][emoji3] unafkiri anapewa jina bila technology investments acha upupu View attachment 1764184
Kwa kifupi hizo gari ni mali ya Daimler. Sema haya makampuni makubwa ni mepesi kucheza na mazingira ya soko husika. To me, that's a German vehicle produced in India by Germany Daimler. Sidhani kama kuna native Indian vehicles zinaweza kuwabattle kwa ubora.
 
Demokrasia ni propaganda za wamerekani tuu hamna lolote zaidi ya hapo
Baada ya mwamba kupumzishwa huwa najifariji kwa kumsikiliza Kagame. Kwenye mdahalo na Mo Ibrahim Foundation alisema "Inaonekana tatizo kiongozi kukaa muda mrefu madarakani huku akifanya mambo ya maana, lakini hukuna tabu ikiwa viongozi watakuwa wakiingia na kutoka bila kufanya chochote cha maana".

Binafsi siyo tu siupendi upinzani tulionao bali siungi kabisa mkono kitu kinaitwa demokrasia. We need to invent our own way of leading our nations. Pa kuanzia tunapo. Magu alianza kutujengea msingi mzuri kwa kuanza kuondoa maccm maslahi na kuanza kupandikiza wazalendo wa ukweli.

Pia alisisitiza viongozi wa umma na chama kuwa wawazi na utajiri wao badala ya kufanya chini chini kama ilivyokuwa kwa miongo kadhaa.
 
Tatizo hata CCM wamekua serious utawala wa JPM ila hawajawah kua serious na unalijua hilo
Ndiyo. Kujenga upya taasisi iliyooza siyo suala la overnight. Ni suala la mchakato mgumu; vita na majangili. Imagine mtendaji mkuu wa chama alikuwa kinara kwenye mtandao wa ujangili, usindaji haramu, na usafirishaji wa meno ya tembo.

Magu katumia miaka mitano yote akipambana nao mpaka kwa kiasi kikubwa akafanikiwa kujenga msingi mpya. Kuwaondoa viongozi maslahi na kuleta watu wasiokuwa na connections na mafisadi, akina Bashiru, Polepole, Mangula, nk haikuwa kazi rahisi.

Bahati mbaya majangili yamerudi tena ila ichukue kutoka kwangu; Magu kaacha sumu kali kila kona ya nchi. Usihadaike na hili daraja letu la kati la "wasomi" huku mitandaoni. Watanzania wengi tayari wamekwisha jua ni aina gani ya nchi na uongozi wanataka.

Kwa sasa wanajifanya kuwa na imani ila hao wapigaji wala hawatafika mbali. Kuna makundi mengi pia yenye nguvu ambayo hayatavumilia kuona nchi ikirudishwa ilikotoka. Jiulize ni lini iliwahi kutokea viongozi wa dini wakaamua kuanza kuuasa uongozi hadharani!
 
Back
Top Bottom