President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,010
- 93,371
Uyole Mbeya
[emoji23] [emoji23]
😄😄😄😄😄 kweli kiama kiko karibu
View attachment 1764861View attachment 1764862View attachment 1764863View attachment 1764864
Ndiyo. Kujenga upya taasisi iliyooza siyo suala la overnight. Ni suala la mchakato mgumu; vita na majangili. Imagine mtendaji mkuu wa chama alikuwa kinara kwenye mtandao wa ujangili, usindaji haramu, na usafirishaji wa meno ya tembo.
Magu katumia miaka mitano yote akipambana nao mpaka kwa kiasi kikubwa akafanikiwa kujenga msingi mpya. Kuwaondoa viongozi maslahi na kuleta watu wasiokuwa na connections na mafisadi, akina Bashiru, Polepole, Mangula, nk haikuwa kazi rahisi.
Bahati mbaya majangili yamerudi tena ila ichukue kutoka kwangu; Magu kaacha sumu kali kila kona ya nchi. Usihadaike na hili daraja letu la kati la "wasomi" huku mitandaoni. Watanzania wengi tayari wamekwisha jua ni aina gani ya nchi na uongozi wanataka.
Kwa sasa wanajifanya kuwa na imani ila hao wapigaji wala hawatafika mbali. Kuna makundi mengi pia yenye nguvu ambayo hayatavumilia kuona nchi ikirudishwa ilikotoka. Jiulize ni lini iliwahi kutokea viongozi wa dini wakaamua kuanza kuuasa uongozi hadharani!
Mkuu, Mwinyi ameiva barabara. Anayo kila sifa kiongozi visionary anapaswa kuwa nayo. Mbali na maono, ni mtu anayejua namna ya kufanya teuzi.Uzuri ni kuwa Majaliwa, Mpango, Rais Hussein na Mzee Mwinyi hawako kwenye kundi lile na Hussein yuko well connected na mabakabaka na pia amelelewa kwenye system. Mama hana budi kumsikiliza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] kweli kiama kiko karibu
View attachment 1764861View attachment 1764862View attachment 1764863View attachment 1764864
Pamoja mkuu.Well said!
Dear brother of good will,
Wishing you all the best, with so much God's blessings.
Ukiskia cost yake utaambia 50m ksh 🤣🤣🤣Jamaa kaenda na helcopter kufungua daraja la pine. 😂😂😂😂