Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dodoma

dalali_viwanja_nyumba_dodoma__1619413550504_2.jpg
dalali_viwanja_nyumba_dodoma__1619413550504_1.jpg
dalali_viwanja_nyumba_dodoma__1619413550504_0.jpg
 
Dodoma real estate inaenda kuiacha nairobi kabisa

Hivi nje ya nairobi kuna hata apartments ya 86$ per night?

Wana uchumi huu kweli nje ya nairobi?


Isiolo 😅😅 Teargas


The most expensive month to stay in Vipingo is December, with an average price of $130 per night. The average price of a hotel in April last year was $84 per night.

NB;Vipingo Ridge is located in Kilifi County. Kudadadeki! 🤣

IMG_20210426_092637.jpg
 
Wee nawe tulia, hivi umekunywa chai hadi unifuate? 😂
Ndio nimeshapata chai. Huwa hatusemi kunywa chai.
Vitu ambavyo unaweza kunywa ni vya baridi kama soda, maji, pombe, sharubati nk.
Sasa upo tayari na mpambano au unagwaya!?
Chagua sector gani unaimudu.
 
Ndio nimeshapata chai. Huwa hatusemi kunywa chai.
Vitu ambavyo unaweza kunywa ni vya baridi kama soda, maji, pombe, shurabati nk.
Sasa upo tayari na mpambano au unagwaya!?
Chagua sector gani unaimudu.
Sector ya Kiswahili Sanifu!!!... Dadeki! 🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom