Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani hadi untaje, hehe ntakuachia ID basi... 😂
Sasa nisikutaje wewe nani. Shetani mwenyewe aitwaye ibilisi tunamtaja.

MADE IN TANZANIA
images - 2021-04-25T230507.775.jpeg
Metal-Cans-for-Packing-50g-Africafe-Pure-Coffee.jpg
Africafe-instant-Coffee1-250GM-150x150-2.png
 
BharatBenz inatengeneza vifaa kulingana na utaratibu wa Benz lakini sio muundo kama za kutoka Ujerumani direct! Hizo zimetengenezwa hususan kwa ajili ya utumizi ndani ya India na walianza kuuzia mataifa ya Afrika pia kama nyinyi. So sio origanal 'made in Germany' benz ni 'made in India' BharatBenz! 🤣 🤣 🤣
Master fabricators na benz ni wapi na wapi🤣🤣🤣🤣 ndio maana mchina kawaletea treni za miaka 70 iliopita mukashangilia
DD464C0E-E28F-4B5A-82C0-70325021F81F.jpeg
 
Sijasema ni original from germany ila nimekwmabia wanatumia germany technology na wanafata quality zote za benz sasa ni sawa na kusema under license kinachokuuma ni kwamba kenya mumekosa benz bus sasa munatapatapa🤣🤣🤣🤣View attachment 1764202
Nyi si mlisema kitu kimetoka ujerumani, sasa waruka. Haya mkuu, mi ni hayo nilkuwa ntaka kurekebisha kwanza! 🤣
 
Back
Top Bottom