Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bullet train 11 kw $60m, ooliskia wapi[emoji23][emoji23]
Tayari hyo hata the cheapest hawatapata hta mbili labda
 
Mambo yote ya magufuli yataenziwa na yatafatwa 👇👇👇
 
Wewe unafaa kufuata magu
 
Bullet train 11 kw $60m, ooliskia wapi[emoji23][emoji23]
Tayari hyo hata the cheapest hawatapat mbili labda
Sisi hua hatupigwi kama mafala nyinyi munaenda numua treni za spain zimetumika miaka 30 kwa 1.5b ksh sawa na almost 15m usd alaf munatufananisha na sisi
 
JPM ni rais bora na si tu Afrika bali duniani. kinachomfanya kuwa bora ni uzalendo wake. LNG ilikwama sababu similar facility ambayo inataka kujengwa likong'o mtwa ipo UK. sasa ile ya UK imecost only $20 billion. The question was, kwanini hi ya Tz icost $30bil? hapo ndio JPM alikuwa ana qustion. kumbuka hizi kampuni lazima wafanye cost recovery project ikiisha. JPM was really smart. I will ever miss him
 
Ni kweli hata mimi nilipata hizo fununu kwamba kuna fake price quotations kwenye hii miradi ya joint ventures towards host government ya kutisha

Bila kupata wasomi wazuri negotiators wabobevu kipigwa ni nje nje, hata mimi nilitilia shaka price ya 30 billion sababu ni pesa nyingi sana,

Walisema ni kutokana na usafirishaji na rates mbali mbali wakati UK wanajenga na saivi, technology options na makorokoro kibao na kila shareholder alikua anasema lake, ni kati ya deals ngumu sana na complicated sababu ya wingi wa stake holders na project complexity

Kwa mama sina expectations nyingi za maajabu kwenye hili.
 
Kwamba knight frank walisema 2020 kenya ina millionarea 2000 alaf 2021 corona ikapita na millionares 921alaf hio hio 2021 kenya inamillionares 20000 hahhhaha hata hesabu za dukani lazma zigome [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

20000 ni Level ya mtu tajiri sana Kenya. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
 
Key words:

MAKARATASI YA 鸡蛋皮 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…