Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya bhn[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji205][emoji86][emoji117][emoji90][emoji90][emoji117][emoji1241][emoji382]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu tuna mpaka dollar billionaire alafu eti mtuzidi idadi ya millionaires unadhani mchezo mchezo tu kuizidi millionaires nchi tajiri na yenye fursa kama Tanzania, yani ulale uamke umeizidi Tanzania isiyokuwa na carfew wala lockdown, utaizidi vipi sasa hebu tuambie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Barabara zenye hazina markings haziezinipea pressure hata kidogo. Huku Kenya barabara ziko marked sio kama Tz.

View attachment 1760498
Hata mm naona 😀😀😀😀
48EEEC5D-A6D6-4AD8-81BC-0E426BCEC8E7.jpeg
87483860-B996-41DA-9A24-D745F7867498.jpeg
89F7AB2E-64D7-4EB6-980F-EAA339D44605.jpeg
41F9065C-BB44-46BA-B8AA-2B65489CC81C.jpeg
83F76E12-1A32-45D3-8373-E0500872D55E.jpeg
8EC0A5B6-DC6F-42B1-81A9-6BFA18BC9F9B.jpeg
F333CD05-BF62-489D-84C1-A601A6E7E179.jpeg
615A6935-A91C-47D0-B700-8AD0E9BC9872.jpeg
0D919160-DC09-4AF5-93B9-2D2CB7FEE612.jpeg
 
Kwamba kuuza blue band na chai tu ndio mtengeneze millionaires wengi kuliko nchi inayozalisha madini, gesi, na yenye mfumo bora wa kiserikali [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Yuko wapi huyu msemaji wa serikali ya Kenya aje hapa mana ule mda anaweka vi report vyake nilikuwa bize sn nikasema nitamkamata usiku, sasa aje hapa atuambie blue band na chai vibawezaje kuzidi madini na gesi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwetu kuna loss lakini kazi kama kawaida, ndio hali ya biashara. Kuna kupanda na kushuka, ukizingatia janga linalokumba dunia kwa sasa. Huko Tz naskia zimelala AIRPORT zile zenyu, hazina kazi? 😂

View attachment 1760511
Unaniletea maneno ya porojo 😅😅😅 siasa za twitter za kina kigogo na genge lake
SGR
Phase one 91% 300km
Phase two 58% 442km
Phase five site preparations 341km

Alaf tunashindana nn😅😅😅😅
 
Knight Frank wakisema wana mamillionea wengi, inakuwa Bibilia yao ila wakitoa information kama hii utawasikia wakisema eti ooh Knight Frank is a bogus source. 🤣 🤣
Kwamba knight frank walisema 2020 kenya ina millionarea 2000 alaf 2021 corona ikapita na millionares 921alaf hio hio 2021 kenya inamillionares 20000 hahhhaha hata hesabu za dukani lazma zigome 😅😅😅😅
 
Unaniletea maneno ya porojo [emoji28][emoji28][emoji28] siasa za twitter za kina kigogo na genge lake
SGR
Phase one 91% 300km
Phase two 58% 442km
Phase five site preparations 341km

Alaf tunashindana nn[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Msikilize msemaji wa serikali ya Kenya

[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji117][emoji1664][emoji1664][emoji87][emoji87][emoji85][emoji85][emoji86][emoji86][emoji205][emoji205]
Screenshot_20210422-231037.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaniletea maneno ya porojo [emoji28][emoji28][emoji28] siasa za twitter za kina kigogo na genge lake
SGR
Phase one 91% 300km
Phase two 58% 442km
Phase five site preparations 341km

Alaf tunashindana nn[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
2019 phase 1 80%[emoji23][emoji23]
 
Kwamba kuuza blue band na chai tu ndio mtengeneze millionaires wengi kuliko nchi inayozalisha madini, gesi, na yenye mfumo bora wa kiserikali [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Yuko wapi huyu msemaji wa serikali ya Kenya aje hapa mana ule mda anaweka vi report vyake nilikuwa bize sn nikasema nitamkamata usiku, sasa aje hapa atuambie blue band na chai vibawezaje kuzidi madini na gesi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hatujaanza juzi kuzalisha milllionaires wengi kuliko majirano, so hii tunaita kujitoa ufahamu
 
Sijui nyinyi wabongo mlienda shule gani, yani hata link yenu yenyewe hamuielewi? Ebu fungua link na udownload report wee kilaza.

View attachment 1760601

Hii ni blog yao official tafuta huo ushuzi unioneshe 😅😅😅😅😅👇👇👇👇
 
Back
Top Bottom