NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,747
- 49,633
Hivi hii list si inasema tu kiasi cha pesa ambacho mtu anatakiwa awe nacho ili ahesabike yupo ndani ya 1% ( Super Rich ndani ya population ya Nchi flani) kwa hiyo Kenya ukiwa na Usd 20,000 wewe ni mmoja wa 1% ?
Kwa hiyo mwenye Milioni arobaini na kitu Bongo ni noma Kenya[emoji23]
Au??
Kwa hiyo mwenye Milioni arobaini na kitu Bongo ni noma Kenya[emoji23]
Au??