Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aliyepost yeye bado ni render .

View attachment 1761129

huo uwanja umefanya nifananishe na pale tiss makumbusho
IMG_1619161098.900370.jpg
 
Na we basi una elimu gani mzee baba[emoji23]
Yani hapo wakiitwa wenye elimu zao na wewe utajitokeza[emoji2960][emoji2960]..
Emu acha kunichekesha bana, hayo ya elimu achana nayo heri uendeleze talanta yako ya unenguaji kw battle
Huu muda unaotumia kurukia rukia quote za wanaume humu ingependeza sana ungeutumia kuongeza knowledge yako mitandaoni.

Kaa kwenye lane yako pumbaf sitaki shobo na wajinga wenye akili finyu.

Umenielewa mwamedi komora?
 
Designer - Katmerciler
Capacity - 6 personnel(including driver & commander)
Engine - Cummins ISL
Maximum Speed - 120 km/h

Screenshot_20210423_101703.jpg

Hizir-vehicle.jpg

KDF will be the second consumer of Hizirs' armoured infantry mobility vehicle after the Turkish Land Forces(TLF).

hizir-4x4-tactical-wheeled-armoured-vehicle-2.png
 
Designer - Katmerciler
Capacity - 6 personnel(including driver & commander)
Engine - Cummins ISL
Maximum Speed - 120 km/h

View attachment 1761177

View attachment 1761178
KDF will be the second consumer of Hizirs' armoured infantry mobility vehicle after the Turkish Land Forces(TLF).
Kwani hizi APC hadi leo mko kwenye mchakato wa kuzinunua tu? Hii ilikuwa ni frastration ya jayden baada ya kuona Uturuki inajenga na kufadhili bandari kubwa na ya kisasa Somalia. Hivyo akajidai kuleta urafiki wa kinafiki kununua hizo gari hapo... Ila kimsingi hakuna deal la maana hapo.

Kinachotakiwa ni muondoke Somalia tu, maana mturuki akianza kuwagonga na vitu vizito visivyokuwa na rubani hamtatoka salama. Na vile anga lenu liko uchi mhabeshi anajipigia tu na kutungua chopa kama mwewe... Mziki wa hao waturuki hamtawezana nao.
 
Huwa sibishani na wenda wazimu, bye!!!
NB;hujui unachozungumzia, so stay in your lane 'broda'!
 
Hizo gari zitafika lini kunyaland? Toka last year mnarusha vipicha tu.

Drone za waturuki zitawamaliza msipokimbia Somalia.
 
Wewe una drama nyingi sana. Kwa hiyo Geza haruhusiwi kulike post yoyote ambayo iko kinyume na msimamo wako?

Mama amewaita wenye intelijensia hiyo ya assasination awasikilize. Maana kama una taarifa kamili kwanini ubaki nayo? Wewe si mzalendo?

Nitajibu ile post yako nyingine baadae

Sina drama wala anything against nae.

Nimefurahi tu, kalike post yako. Miaka mingi mimi na yeye nje ya hapa jamiiforums.
 
Wewe una drama nyingi sana. Kwa hiyo Geza haruhusiwi kulike post yoyote ambayo iko kinyume na msimamo wako?

Mama amewaita wenye intelijensia hiyo ya assasination awasikilize. Maana kama una taarifa kamili kwanini ubaki nayo? Wewe si mzalendo?

Nitajibu ile post yako nyingine baadae

Mama hayuko seŕious kuwatafuta wau wa mitandaoni. Hana sababu ya kushughulika na wasiojulikana mitandaoni.

Aanze na wanaojulikana: Maria Sarungi, Fatuma Karume, na Lissu wanaotangaza amekufa kwa Corona.
 
Kwani hizi APC hadi leo mko kwenye mchakato wa kuzinunua tu? Hii ilikuwa ni frastration ya jayden baada ya kuona Uturuki inajenga na kufadhili bandari kubwa na ya kisasa Somalia. Hivyo akajidai kuleta urafiki wa kinafiki kununua hizo gari hapo... Ila kimsingi hakuna deal la maana hapo.

Kinachotakiwa ni muondoke Somalia tu, maana mturuki akianza kuwagonga na vitu vizito visivyokuwa na rubani hamtatoka salama. Na vile anga lenu liko uchi mhabeshi anajipigia tu na kutungua chopa kama mwewe... Mziki wa hao waturuki hamtawezana nao.
Wanunue wapi? Wakati walikosa mkopo!
 
Back
Top Bottom