The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,538
Tukubali nn ss kwamba mna SGR bora kuliko Tz au tukubali kwamba mna millionaire wengi kuliko Tz be specificAirport inahusu ndege sio SGR. Uko sawa mkuu, au ushatoa loki?![]()
![]()
Alafu mkipewaga ukweli na watu wa kwenyu mnaliaga sana, yaani tukitoa sisi porojo, akitoa mbongo, porojo. Nyie kubalini tu, ni hali ya maisha, msiaibike!![]()
![]()
![]()



Sent using Jamii Forums mobile app

