Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yeah ninayo.

Dear brother,


Tuache kubishana pasipo sababu, there is a lot to learn from you na waweza kujifunza ubaya wa ujunga wangu.

Lets be neutral na tureason kwa pamoja.

Report ile ndio alikua apokee Magufuli, je ndio kind ya report angeletewa na CAG? NO.

Maana hata wewe umedai kua ufisadi ulikua ukifanyika gizani, let me say "could be" - meaning, CAG alikua akificha kwakua walikua wanamwogopa.

Sasa woga uliisha lini? Maana report mpaka March mwanzoni ilikua tayari.

Sasa wewe huoni hapo, kuna adjustments zilifanyika kwenye report baada ya kufa??
Relax. Let me take care of something then I’ll answer you.
 
gharama za ujenzi ghorofa tunakubaliana.. gharama za fence sijui land clearance/scaping sijui mavitu gan kucost zaid 300m sio reasonable
Kwahiyo SGR Terminal isifayiwe landscaping ibaki hivyohivyo? Wacha uswahili! Landscaping ni taaluma na ajira pia na ni sehemu ya usanifu jengo! Na naongea kama mtaalam wa hii sector (engineering)! What if hiyo sehemu inahitaji landfilling na drainage systems?
 
Yeah ninayo.

Dear brother,


Tuache kubishana pasipo sababu, there is a lot to learn from you na waweza kujifunza ubaya wa ujunga wangu.

Lets be neutral na tureason kwa pamoja.

Report ile ndio alikua apokee Magufuli, je ndio kind ya report angeletewa na CAG? NO.

Maana hata wewe umedai kua ufisadi ulikua ukifanyika gizani, let me say "could be" - meaning, CAG alikua akificha kwakua walikua wanamwogopa.

Sasa woga uliisha lini? Maana report mpaka March mwanzoni ilikua tayari.

Sasa wewe huoni hapo, kuna adjustments zilifanyika kwenye report baada ya kufa??
Alright. Tu-reason kwa kila point uliyowasilisha.

1. “Report ile ndio alikua apokee Magufuli, je ndio kind ya report angeletewa na CAG? NO”

You have said No. Why? My guess is because most of the information contained in that report stands against many of the projects initiated by Magufuli, it also falsifies some of Magufuli’s facts, and, to a certain extent, it destroys Magufuli’s reputation and legacy.

So, Yes. I personally believe that that report would not have been released had Magufuli still been alive.

2. “Maana hata wewe umedai kua ufisadi ulikua ukifanyika gizani, let me say "could be" - meaning, CAG alikua akificha kwakua walikua wanamwogopa”

Okay, unavyosema kuwa walikuwa “wanamuogopa” moja kwa moja unamaanisha kuwa Magufuli alikuwa aki- perpetuate ufisadi, sio? Na kama ni kweli, huoni position yake kama rais mkali na asiye-exercise transparency ilitengeneza opportunity ya ku-influence hata ofisi ya CAG kuchapisha taarifa zisizo za kweli?

3. “Sasa woga uliisha lini? Maana report mpaka March mwanzoni ilikua tayari”

Hapa Ndio amendment inaingia, sio?
Hata kama tuki-reason bila bias yoyote bado jibu litakuwa enigmatic. Je kama CAG alikuwa anachapisha report za kweli kwa siri? Maana Kawaida kama unataka ku-fabricate data za kitu inabidi uwe na real information. Because your “fabricated” data still needs to look as real as possible! Kwa hiyo, hata Kama CAG alihofia kutoa information za kweli, bado alizifahamu. Kumbuka Magufuli Alimfukuza Profesa Assad na kumpeleka Kichere! Ninaweza nisifahamu sababu ilikuwa nini lakini Kwa mtazamo wangu Assad ni mtaalamu na ni muungwana. Yawezekana alitaka kuchapisha ukweli na akakatazwa. Na kutokana na uungwana wake, kazi Ikamshinda. Na Ndipo nafasi ya Kichere ikapatikana. Perhaps, Kichere alikuwa na hofu kubwa. Au aliwekwa kwasababu hakuwa mtu wa ku-question. Of course, this is just a theory. Labda pia nilichoandika ni uongo kabisa. Lakini ni speculation Kama idea yako ya amendment.

Honestly, hii information uliyonipa sio proof. Ni detective work na unakuja na kila aina ya theory ili u-support argument zako. Proof itakayonifanya nikuamini ni kama utapata hiyo repoti original ambayo haikuwa amended tuone contents zake.
 
Only MATAGA, Opportunists and the so called WANYONGE like you will miss the existence of Magufuli!

The rest, including me!! What i can say is NO!!!! Thanks to God, that old man is gone forever. He deserved nothing but death and a painful one.
Yani hapa huu mwandiko ndo umejidhihirisha kabisa ya kwamba wewe ni Choice Variable, sasa kwnn huwa unajifanya kuongea kama Mkenya? Kwnn unakuwa mtumwa wa fikra za watu? Kama kitu hukipendi weka wazi hukipendi na mtu atake asitake atalazimika kukuelewa lkn co kujifanya Mkenya eti unabadili mpk lugha aisee yn wewe ni mpumbavu sn.

Naton Jr kuja uone choice variable nmemdaka mchana kweupe

Dah we jamaa Naton Jr kweli una macho, alafu kawaida ya jamaa akishastukiwa ss anaunganisha ID yani anakuwa ndio yule yule choice variable

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ww ni mtu wa ajabu sana magufuli anakuhusu nn wewe kama mkwenya?? Magufuli ni rais wa tanzania anakuhusu nn wewe kama mkenya hebu nijibu hili swali, ikiwa sisi watanzania tunajua umuhimu wake tena mkubwa sana, wewe ulifaa ulie na kenyatta anauza nchi taratibu kwa wachina
Mkuu huyo sio Mkenya ni mtanzania huyo anaitwa choice variable yule aliyetumbuliwa na Magufuli hiyo ni id yake nyingine huwa anajifanya Mkenya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alimuumiza nani kama sisi watanzania tunaona kua hatujaumizwa wewe mkenya inakuaje useme aliumiza watu wakat sisi watanzania tunaona hakuumiza watu na kafanya makubwa zaidi kuliko marais wote waliopita
Kaka huyo ni mbongo anaitwa choice variable JIPU, yule aliyetumbuliwa na Magufuli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matanga ndio jina la nani?? Sisi watanzania tunamkubali na tunampenda na katufanyia mengi kwenye hii nchi sasa wewe mkenya magufuli anakuhusu nn yani umchukie magufuli kisa kaleta maendeleo makubwa tanzania
Once again, huyo anaitwa Choice Variable JIPu co Mkenya huyo asisingizie Wakenya mana Wakenya walikuwa na chuki na effects za Magufuli na sio Magufuli usiwaingize Wakenya kwenye roho hiyo, japo wana roho mbaya ila walichukia effects za Magu na co Magu kama Choice Variable JIPu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania, mnajua hii kitu? Ati 'oh mabasi ya mwendo kasi yanadumu, oh... Kumbe mchina kafanya yake tayari! Poleni!! Dadeki!

View attachment 1760312
Mnajenga stand za BRT, jangwani???

View attachment 1760314
Hehehehe ishahama hii hapa inajengwa
IMG_20210417_151409_747.jpg
JamiiForums925225431.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
We kweli mgeni na Jf, hao ulio screenshot ni UFIPA hao na bosi wao ni Zitto Kabwe huwa wanakosoa mpaka hewa ya Tanzania wakati dunia nzima hewa ni moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hello Tanzanians. hizi nyumba za wakuu wa mikoa na wilaya.. zinakuwa ni nyumba ya mkuu wa mkoa binafsi au zinakuwa za serikali?? yan kila mkuu wa mkoa anaekuja anakaa hapo?


afu hizi gharama sasa
Mali ya Umma hiyo mkuu cz hiyo ni nyumba ya mkuu wa mkoa na sio nyumba ya fulani so mkuu wa mkoa yeyote ataishi hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom