Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bullet trains tuliwaachia nyinyi wenye kujua, sisi hatuna haraka. One step at a time! 🤣
Lazima mutuachie sisi 🤣🤣👇👇👇 tafuteni aliwaachia laana kwanza
B4488167-5D92-401B-9BAC-3D5DA31C91EC.jpeg
 
Usipanic tulia mzee shirika lina ndege tatu chakavu miaka 40 alaf munauliza loss ya 333m usd 😅😅😅😅 hio hela inaweza nunua dream liner mpya na cessna caravan 30 na change ikabaki
Loss kila mtu ameipata, hata the so called 'first world' countries ka huangalii ni wewe. So kama kwenyu hamna losses zozote hii miaka miwili imepita, basi hamfai kuwa level hata ya Africa, au nasema uongo.? 😂 😂 😂
 
Sitaki ubishi ndio manake nimeamua kufuta na kuachilia mbali
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kwamba 2020 mulikua two thousand alaf 2021 with corona and lockdown mumefika twenty thousand 😂😂
Nchi inakopa asha kumlipa juma with interest
406B48D9-1542-4CC6-8458-8FBB250F1779.jpeg
 
Loss kila mtu ameipata, hata the so called 'first world' countries ka huangalii ni wewe. So kama kwenyu hamna losses zozote hii miaka miwili imepita, basi hamfai kuwa level hata ya Africa, au nasema uongo.? 😂 😂 😂
Inategemea na loss huwezi kupata loss ikafika 333m usd wakat muna ndege tatu chakavu munazomiliki alaf mutuambie kila mtu anapata loss 🤣🤣🤣 mchawi mpe mwanao amlee kwanza
 
We siku yako itafika leo utoto kando, labda uje kistaarabu ndio nita argue na wewe..

Lkn usijali, huaga nina siku zako special za kukusemesha
Hasira za uhuru ndio unatuletea sisi 🤣🤣 akawaingiza choo cha kike
68847969-95FE-43D3-A9E2-B1D172A2CA41.jpeg
8B5C1F16-9F2A-4BFF-8DC4-645ABF652021.jpeg
 
Kuna sehemu lazima mulilaaniwa 🤣🤣👇
View attachment 1760903
Hiyo bullet trains ni editing jomba, tangu huu mradi uanzishwe sijawahi sikia ati bullet trains ndo zinaja, tunazojua ni hizo SGR za diesel tu. Usilete vitu visivyokuwa, hata hapo naona 2013 ilitumika kwa kuomba kura, uongo mtupu coz nilkuwepo na hakuna kitu ka hicho aliahadi isipokuwa SGR pekee. Get your facts right kiddo! 🤣 🤣 🤣
 
Hivi hii list si inasema tu kiasi cha pesa ambacho mtu anatakiwa awe nacho ili ahesabike yupo ndani ya 1% ( Super Rich ndani ya population ya Nchi flani) kwa hiyo Kenya ukiwa na Usd 20,000 wewe ni mmoja wa 1% ?

Kwa hiyo mwenye Milioni arobaini na kitu Bongo ni noma Kenya

Au??

View attachment 1760733
View attachment 1760734
😂😂😂😂 nimecheka vbaya mno
 
Hiyo bullet trains ni editing jomba, tangu huu mradi uanzishwe sijawahi sikia ati bullet trains ndo zinaja, tunazojua ni hizo SGR za diesel tu. Usilete vitu visivyokuwa, hata hapo naona 2013 ilitumika kwa kuomba kura, uongo mtupu coz nilkuwepo na hakuna kitu ka hicho aliahadi isipokuwa SGR pekee. Get your facts right kiddo! 🤣 🤣 🤣
Aliepost ni nani mm au kiongozi alieua kenya 🤣🤣🤣👇👇👇👇 kumbe alitumia kuomba kura hahahhaha na sasa akawaletea painted 1950s train
6652B092-A695-4040-BAE9-6C218CC65494.jpeg
 
Hiyo bullet trains ni editing jomba, tangu huu mradi uanzishwe sijawahi sikia ati bullet trains ndo zinaja, tunazojua ni hizo SGR za diesel tu. Usilete vitu visivyokuwa, hata hapo naona 2013 ilitumika kwa kuomba kura, uongo mtupu coz nilkuwepo na hakuna kitu ka hicho aliahadi isipokuwa SGR pekee. Get your facts right kiddo! 🤣 🤣 🤣
Mmoja ya wanafunzi walienda south korea kusomea huyu hapa sio porojo🤣🤣👇👇
 
Inategemea na loss huwezi kupata loss ikafika 333m usd wakat muna ndege tatu chakavu munazomiliki alaf mutuambie kila mtu anapata loss 🤣🤣🤣 mchawi mpe mwanao amlee kwanza
Na ndo nimekwambia, bakini na faida yenyu tuone itazaa nini, ka si kicheko kutuachia huku! 🤣
 
Back
Top Bottom