Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo bullet trains ni editing jomba, tangu huu mradi uanzishwe sijawahi sikia ati bullet trains ndo zinaja, tunazojua ni hizo SGR za diesel tu. Usilete vitu visivyokuwa, hata hapo naona 2013 ilitumika kwa kuomba kura, uongo mtupu coz nilkuwepo na hakuna kitu ka hicho aliahadi isipokuwa SGR pekee. Get your facts right kiddo!
Bullet train 11 kw $60m, ooliskia wapi
Tayari hyo hata the cheapest hawatapata hta mbili labda
 
Mambo yote ya magufuli yataenziwa na yatafatwa 👇👇👇
 
Yani hapa huu mwandiko ndo umejidhihirisha kabisa ya kwamba wewe ni Choice Variable, sasa kwnn huwa unajifanya kuongea kama Mkenya? Kwnn unakuwa mtumwa wa fikra za watu? Kama kitu hukipendi weka wazi hukipendi na mtu atake asitake atalazimika kukuelewa lkn co kujifanya Mkenya eti unabadili mpk lugha aisee yn wewe ni mpumbavu sn.

Naton Jr kuja uone choice variable nmemdaka mchana kweupe

Dah we jamaa Naton Jr kweli una macho, alafu kawaida ya jamaa akishastukiwa ss anaunganisha ID yani anakuwa ndio yule yule choice variable

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unafaa kufuata magu
 
Bullet train 11 kw $60m, ooliskia wapi
Tayari hyo hata the cheapest hawatapat mbili labda
Sisi hua hatupigwi kama mafala nyinyi munaenda numua treni za spain zimetumika miaka 30 kwa 1.5b ksh sawa na almost 15m usd alaf munatufananisha na sisi
 
Hujajibu swali, utatoka ama utabaki kuendeleza mjadala
Nasema mwezi wa nane treni ya kwanza ya aina yake inaanza kazi tanzania unataka niseme nn wewe mama🤣🤣🤣
0125F4B0-8AD4-42DE-A53A-BE92558B828A.jpeg
 
Ni kweli LNG ni kipaumbele cha TPDC na wapo katika hatua za ukamilishaji mda mfupi chini ya miezi 6 watasign makubaliano

LNG ni mradi mkubwa sana na wa thamani kubwa zaidi ya $30 billion hivyo unahitajika umakini wa hali ya juu japo kwa maneno yake Dr Mataragio kakiri wazi kwamba ndani ya miezi michache na wenyewe utaanza sababu wamekua na kipindi kirefu sana cha mazungumzo kwa zaidi ya miaka 6 sasa.
JPM ni rais bora na si tu Afrika bali duniani. kinachomfanya kuwa bora ni uzalendo wake. LNG ilikwama sababu similar facility ambayo inataka kujengwa likong'o mtwa ipo UK. sasa ile ya UK imecost only $20 billion. The question was, kwanini hi ya Tz icost $30bil? hapo ndio JPM alikuwa ana qustion. kumbuka hizi kampuni lazima wafanye cost recovery project ikiisha. JPM was really smart. I will ever miss him
 
JPM ni rais bora na si tu Afrika bali duniani. kinachomfanya kuwa bora ni uzalendo wake. LNG ilikwama sababu similar facility ambayo inataka kujengwa likong'o mtwa ipo UK. sasa ile ya UK imecost only $20 billion. The question was, kwanini hi ya Tz icost $30bil? hapo ndio JPM alikuwa ana qustion. kumbuka hizi kampuni lazima wafanye cost recovery project ikiisha. JPM was really smart. I will ever miss him
Ni kweli hata mimi nilipata hizo fununu kwamba kuna fake price quotations kwenye hii miradi ya joint ventures towards host government ya kutisha

Bila kupata wasomi wazuri negotiators wabobevu kipigwa ni nje nje, hata mimi nilitilia shaka price ya 30 billion sababu ni pesa nyingi sana,

Walisema ni kutokana na usafirishaji na rates mbali mbali wakati UK wanajenga na saivi, technology options na makorokoro kibao na kila shareholder alikua anasema lake, ni kati ya deals ngumu sana na complicated sababu ya wingi wa stake holders na project complexity

Kwa mama sina expectations nyingi za maajabu kwenye hili.
 
Huu mradi utatuinua sana Watz km utalenga kumsaidia mTz wa chini, hii nchi imekaa kimkakati sn yn tumshukuru Mungu kwakweli sema tatizo viongozi wazalendo tulikosa.

Wakenya oneni fursa zinavyotufuata kila kukicha, huku madini, kule mafuta, hapa gesi

Alafu eti mnataka kushindana na Tz kisa makaratasi ya GDP

Sent using Jamii Forums mobile app
Key words:

MAKARATASI YA 鸡蛋皮 🤣
 
Back
Top Bottom