Alright. Tu-reason kwa kila point uliyowasilisha.
1. “Report ile ndio alikua apokee Magufuli, je ndio kind ya report angeletewa na CAG? NO”
You have said No. Why? My guess is because most of the information contained in that report stands against many of the projects initiated by Magufuli, it also falsifies some of Magufuli’s facts, and, to a certain extent, it destroys Magufuli’s reputation and legacy.
So, Yes. I personally believe that that report would not have been released had Magufuli still been alive.
2. “Maana hata wewe umedai kua ufisadi ulikua ukifanyika gizani, let me say "could be" - meaning, CAG alikua akificha kwakua walikua wanamwogopa”
Okay, unavyosema kuwa walikuwa “wanamuogopa” moja kwa moja unamaanisha kuwa Magufuli alikuwa aki- perpetuate ufisadi, sio? Na kama ni kweli, huoni position yake kama rais mkali na asiye-exercise transparency ilitengeneza opportunity ya ku-influence hata ofisi ya CAG kuchapisha taarifa zisizo za kweli?
3. “Sasa woga uliisha lini? Maana report mpaka March mwanzoni ilikua tayari”
Hapa Ndio amendment inaingia, sio?
Hata kama tuki-reason bila bias yoyote bado jibu litakuwa enigmatic. Je kama CAG alikuwa anachapisha report za kweli kwa siri? Maana Kawaida kama unataka ku-fabricate data za kitu inabidi uwe na real information. Because your “fabricated” data still needs to look as real as possible! Kwa hiyo, hata Kama CAG alihofia kutoa information za kweli, bado alizifahamu. Kumbuka Magufuli Alimfukuza Profesa Assad na kumpeleka Kichere! Ninaweza nisifahamu sababu ilikuwa nini lakini Kwa mtazamo wangu Assad ni mtaalamu na ni muungwana. Yawezekana alitaka kuchapisha ukweli na akakatazwa. Na kutokana na uungwana wake, kazi Ikamshinda. Na Ndipo nafasi ya Kichere ikapatikana. Perhaps, Kichere alikuwa na hofu kubwa. Au aliwekwa kwasababu hakuwa mtu wa ku-question. Of course, this is just a theory. Labda pia nilichoandika ni uongo kabisa. Lakini ni speculation Kama idea yako ya amendment.
Honestly, hii information uliyonipa sio proof. Ni detective work na unakuja na kila aina ya theory ili u-support argument zako. Proof itakayonifanya nikuamini ni kama utapata hiyo repoti original ambayo haikuwa amended tuone contents zake.
“So, Yes. I personally believe that that report would not have been released had Magufuli still been alive.”
“Of course, this is just a theory. Lakini ni speculation Kama idea yako ya amendment.”
Mpaka hapa, nidhahiri kabisa, hata wewe wajua report ile CAG asingemkabidhi Magufuli, kwa maana nyingine, report hii ya CAG ni report mbadala kama neno kuchakachuliwa or amended hulipendi.
Kwakua report ilikua tayari tangu march, ilikua inasubiriwa tu date ikabidhiwe kwa Magufuli, hata wewe unakiri kabisa report aliyokabidhuiwa Suluhu sio report angekabidhiwa Magufuli.
That means, kuna reports mbili ambayo aliyokua ready kukabidhiwa Magufuli na hii mpya aliokabidhiwa Suluhu.
~ ~ Mine is never a theory but a LOGICAL FACT.
------------------------------------------------------------------------
“Je kama CAG alikuwa anachapisha report za kweli kwa siri?”
CAG ni mkuu wa taasisi, hafanyi hizi mambo peke yake, yeye ni mkuu tu wa taasisi ile, na kama hujui, tangu miaka ya 1970 baada ya failure za coups kadhaa, usalama wa taifa walibadili gia na kuakikisha TISS agent wako kwenye kila kona ya public sphere.
Ni ngumu kwa yeye kufanya hivyo isijulikane, kaka.
---------------------------------------------------------------------------
”Kwa mtazamo wangu Assad ni mtaalamu na ni muungwana”
Nitaongelea hili kwa ufupi tu, sitaki kwenda in details hapa.
Assad ni mfuasi wa kundi kubwa la “wadini”, kundi hili linaongozwa na Ramadhan Dau, mfuasi mwingine wa kundi hili ni Mzee Mohamed.
Nitaishia hapa kuhusu Assad na kundi hili.