Uhuru n Umoja
JF-Expert Member
- May 25, 2016
- 1,160
- 2,226
Tafadhali usiniingize kwenye propaganda zako za siasa za Tanzania. Nimeshakwambia peleka story zako kwenye vijiwe vya kahawa. Kwani wakati wa Magufuli hakukuwa na ubadhilifu wa fedha kwenye taasisi za serikali? Au ufisadi haukuonekana kwasababu ulifanyika Sirini?
Hivyo vijiwe vya kahawa mimi sivijui.
Report ya CAG ilikua amended. Mi sijawahi kuvijua or kufahamu vijiwe vya kawaha.
Wewe ni mmoja wa wana-kahawa.


sababu sio mimi naandika ni wabongo wenzio waliochoshwa na hali tata ya BRT! 