Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Please funga account 😂😂😂
View attachment 1759826
Leta from the source of knight frank usiniletee porojo hapa🤣🤣🤣 hapa hutoki mzee

2020 mlikua na hzi na 2021 hesabu zinaonesha millionares wamepungua kenya kutokana na corona unafkiri hesabu za dukani hzo
F2ACE331-987B-4FAF-A7EF-55860DA6E015.jpeg

F2ACE331-987B-4FAF-A7EF-55860DA6E015.jpeg



 
Unataka na sie tuwe watu wa minister says
Hapana bana, heri tupike data kuliko mambo ya minister says
Minister say na vitu alivyo vizungumzia tunavyiona mtaani.

Kupika data mitandaoni ila kwa ground mambo ni tofauti.

Ipi bora?
 
Leta from the source of knight frank usiniletee porojo hapa🤣🤣🤣 hapa hutoki mzee

2020 mlikua hzi na 2021 hesabu zinaonesha millionares wamepungua kemya kutokana na corona unafkiri hesabu za dukani hzoView attachment 1759828
View attachment 1759828
Hiyo no screenshot ya link uliweka wewe mwenyewe, kwani unapost kitu enye hata wewe mwenyewe hujasoma?😂😂😂🤣
 
Jomba si unau kenge jamani
2020 walikua 2000 millionares alaf 2021 wamepumgua 912 millionare from 2000 millionarea alaf anatuletea hesabu za dukani 🤣🤣🤣🤣🤣

Msaidie kuleta official source mukipata munita
 
Anaikataa na yeye ndiye ameileta hapa🤣🤣😂
🤣🤣🤣🤣🤣 umechemka nilijua huwezi kutoka 👇👇👇👇👇
Leta from the source of knight frank usiniletee porojo hapa🤣🤣🤣 hapa hutoki mzee

2020 mlikua na hzi na 2021 hesabu zinaonesha millionares wamepungua kenya kutokana na corona unafkiri hesabu za dukani hzoView attachment 1759828
View attachment 1759828


 
Ona vile sasa atakuja kivingine mzee wa unenguaji, subiri uone jamaa ata shift gear kw haraka mpka ushangae
Nakwambia hawezi toka na akitoka yeye mwanaume katahiriwa kweli 🤣🤣🤣🤣
 
2020 millionares two thousand alaf 2021 pamoja na corona wamefika twenty thousand 🤣🤣🤣🤣🤣 na hapo hapo report zinasema corona imeondoka na millionares 912

Ila wakenya elimu haijawasaidia bado
Who is fooling who
 
Back
Top Bottom