Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwakweli hapa kazi ipo.
TTCL, hoyeee!... 😂 😂 😂 Mlisema aje eti, "if it's a fckng spade, call it a spade, not a gaddamn big spoon"... Nyie jirani nyie, nawazoom tu! 🧐😂

Screenshot_20210422_142955.jpg


Screenshot_20210422_142931.jpg


Screenshot_20210422_142857.jpg


Screenshot_20210422_142838.jpg

Wacha niwavutie "Safaricom" waje wawape push kiasi, au sio wazee!? 🤣
 
Wewe ndio ujipe matumaini, ona hapa, na usilie 😢😂 sababu sio mimi naandika ni wabongo wenzio waliochoshwa na hali tata ya BRT! 🤣
Kueni watulivu, msirukie rukie mambo tu! 🤣

View attachment 1760336

View attachment 1760337

View attachment 1760338

View attachment 1760339

View attachment 1760340

View attachment 1760341

View attachment 1760342

View attachment 1760343

View attachment 1760344

View attachment 1760345

View attachment 1760346
Nilie nn wakat BRT ya tanzania ndio imeshinda award duniani na sasa ina miaka mitano 😀😀😀😀😀 bado unaota BRT



 
Wewe ndio ujipe matumaini, ona hapa, na usilie 😢😂 sababu sio mimi naandika ni wabongo wenzio waliochoshwa na hali tata ya BRT! 🤣
Kueni watulivu, msirukie rukie mambo tu! 🤣

View attachment 1760336

View attachment 1760337

View attachment 1760338

View attachment 1760339

View attachment 1760340

View attachment 1760341

View attachment 1760342

View attachment 1760343

View attachment 1760344

View attachment 1760345

View attachment 1760346
Wasikilize citizen tv wakiongelea habari ya BRT tanzania 😀😀😀👇👇👇
 
Sawa. Lakini kwani ulinzi ni ujenzi? Kawaida hawa viongozi wanapewa ulinzi wao lakini hapa tunazungumzia gharama ya uzio na landscaping. Gharama kubwa kiasi hicho kuwa allocated kwenye perimeter wall na landscaping hazileti sense unless estate ambayo hiyo nyumba inajengwa ni kubwa sana, wanajenga some kind of basement or bunker au kuna security systems ambazo wanainstall kuizunguka Nyumba. Sema we don’t have any information about the construction sites kuhakilisha hili.

Wala usilalame hapa!

Tunarudi kule kwa Kikwete, mnako kutaja.

Mwana-mkataa pema! Tulia dawa ikuingie🤣🤣🤣
 
Wala usilalame hapa!

Tunarudi kule kwa Kikwete, mnako kutaja.

Mwana-mkataa pema! Tulia dawa ikuingie🤣🤣🤣
Tafadhali usiniingize kwenye propaganda zako za siasa za Tanzania. Nimeshakwambia peleka story zako kwenye vijiwe vya kahawa. Kwani wakati wa Magufuli hakukuwa na ubadhilifu wa fedha kwenye taasisi za serikali? Au ufisadi haukuonekana kwasababu ulifanyika Sirini?
 
Back
Top Bottom