Sawa. Lakini kuna hesabu hapo haziingii akilini mwangu.
mara nying wanajenga nyumba za ghorofa moja (mfano najua nyumba ya mkuu wa mkoa wa mwanza ipo kiseke.. mkuu wa Dar wakat wa makonda .. na wa wilaya ya kino)..
kuna gharama kama ujenzi nakubaliana nazo.. lkn za ukarabati zaid ya 100m?
♂️pia nilikuwa sijui zinakuwa za binafsi au za serikali mana kila mwaka zinajengwa tu

