Watanzania, mnajua hii kitu? [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ati 'oh mabasi ya mwendo kasi yanadumu, oh... Kumbe mchina kafanya yake tayari! 🤣 🤣 🤣 Poleni!! Dadeki!
View attachment 1760312
Mnajenga stand za BRT, jangwani??? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
View attachment 1760314
hizo stand mbadala wake zimeamishwa ubungo,
wivu ukizidi