Haya mambo mnayojadili sina know-how sana huko lakini nina haya ya kuuliza tu;
1:Tanzania, wafanyikazi wa umma wanalipwa mishahara yao vizuri na ambayo inakidhi mahitaji yao vizuri?
2:Tanzania chakula kiko kingi sana, yaani hakuna anayelia njaa. Huko ni full shibe, all day, everyday?
3:Tanzania tangu ijitambue kama nchi, projects zote zilizowahi kuwa proposed na kuwekewa bajeti na serikali kuu, zimekamilka zote, hakuna hata moja iko unfinished ama hata ilitupiliwa mbali na story yake kufifia?
4:Tanzania, vijana au hata wazee wanaojiweza kiafya, wote wana kazi, iwe private sector ama government sector, hakuna wanaoranda randa mtaani bila kazi, waliokaa vijiweni wakigoja chakula cha 'bibi'. Huko kila mtu ni kazi tu?
NB:maswali ninayo mengi ya kuuliza kuhusu Tz, sababu sio vilio ninavyoviona JF kila siku, shida inayopitiwa na mabarobaro huko, alafu hapa unaona mwingine anatoa povu kwa nchi nyingine ilhali kwao sio peponi! TAFAKARI!.
[emoji3577]