Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tuache kwanza tuna msiba hku jichoboi kafa kifo cha mende
Kifo kitafute humu kwanza ukitoka ww mwanaume 🤣🤣🤣👇👇👇👇
 
Tuache kwanza tuna msiba hku jichoboi kafa kifo cha mende
Mzee nikuache vipi. Tunaongelea vitu real hatutaki kuongelea utajili wa watu binafsi.
Je, salary yenu vipi!?
Screenshot_20210421-232703.png
Screenshot_20210421-232824.png
Screenshot_20210421-232037.png
Screenshot_20210421-232403.png
 
Tumsamehe tu maskini huyo ni yatima wenzake wametelekeza kw sasa...
Huenda hata posho yake akakosa hapo kesho
Umsamehe mm au knight frank 😁😁😁 leo blog imewakalisha kuti kavu mamaeee mukajua hesabu zile za dukani chai na mandazi
 
Kwani hii nakupa ni nini toka mwanzo nimempa atafute mbona hamuitaki officila blog kuna shida gani
Sasa si hyo hapo juu..
Teargas hii ni official link ya wapi www.knightfrank.com
Screenshot_20210421-232250_Samsung%20Internet.jpg
 
Alafu Nairobi imepita Lagos kwa utajiri according to knight Frank 😂😂

View attachment 1759898
According to knight frank blog yao hii hapa sasa tuoneshe kua nairobi imepita lagos kupitia offical blog yao 🤣🤣🤣👇👇👇

 
Sasa si hyo hapo juu..
Teargas hii ni official link ya wapi www.knightfrank.comView attachment 1759899
Mimekosa kwenyw blog 🤣🤣🤣🤣 nilijua hamutoki na hamutatoka eti lagos imepitwa na nairobi kwa millionare hahahahahaha haya maisha jamani 😂😂😂😂
 
Huyo jamaa akili inamuacha😂😂😂
Mm au hiiii🤣🤣🤣🤣👇👇
 
According to knight frank blog yao hii hapa sasa tuoneshe kua nairobi imepita lagos kupitia offical blog yao

Nipe tofauti ya hzo screenshot mbili
Screenshot_20210421-233705_Samsung%20Internet.jpg
Screenshot_20210421-232250_Samsung%20Internet.jpg
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 leo blog imekua yamoto hawataki hata kuifumgua

 
Aibu imemtanda ajabu
Aibu iko kwa blog hii 🤣🤣🤣👇👇👇 imekua yamoto

 
Nakupa tofaut hapa nitafutie huo ushuzi humu ndani 🤣🤣🤣😂👇👇👇
 
Huenda ikawa umeokoteza link
Tanzania hamna mishahara ya maana kutuliko wakenya, yani hapa nkm jnataka kuanzisha mjadala ambao mwisho utaukimbia..
Chagua tuanze na sector gani nikupige haraka haraka nilalae
Tafuta ushuzi kutoka kwenye blog yao wenyewe kwamba nairobi inamillionares wengi kuliko lagos 😅😅😅😅 leo nimecheka sana

 
Back
Top Bottom