komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Umeumbuka we kubali tu wala hutikufa, manake ukiendelea hivi ndio unazidi kujishusha hadhi..Tafuta ushuzi kutoka kwenye blog yao wenyewe kwamba nairobi inamillionares wengi kuliko lagosleo nimecheka sana
The Wealth Report 2022 | Knight Frank
Read The Knight Frank Wealth Report 2022 and explore the insights behind wealth generation and movement; how UHNWIs are investing; how wellness and sustainability trends are impacting global real estate markets – both residential and commercial.www.knightfrank.com
Huenda ikawa umeokoteza link
Tanzania hamna mishahara ya maana kutuliko wakenya, yani hapa nkm jnataka kuanzisha mjadala ambao mwisho utaukimbia..
Chagua tuanze na sector gani nikupige haraka haraka nilalae
Mimi namuacha na hizi screenshots tatu, saa hii ako na machungu kweli kweli 😂😂Tumsamehe tu maskini huyo ni yatima wenzake wametelekeza kw sasa...
Huenda hata posho yake akakosa hapo kesho
Unipuuze mm wakat official blog imekua ya moto 🤣🤣🤣🤣 mukafkiri mutaleta hesabu za dukani hapaAcah nimpuuze kwanza![]()
Mm au official blog ya wenyewe 😆😆😆😆Umeumbuka we kubali tu wala hutikufa, manake ukiendelea hivi ndio unazidi kujishusha hadhi..
Mm nakuachia hii official blog moja tu ukipata huo ushuzi unitag mapema nifunge acc👇👇👇👇😂😂😂😂Mimi namuacha na hizi screenshots tatu, saa hii ako na machungu kweli kweli 😂😂
View attachment 1759917View attachment 1759923View attachment 1759929
Mimi namuacha na hizi screenshots tatu, saa hii ako na machungu kweli kweli 😂😂
View attachment 1759917View attachment 1759923View attachment 1759929
Anakwambia nairobi ina millionares wengi kuliko lagos leo nimecheka sana 🤣🤣🤣 hawa watu sijui wanalaana gani ya sifa za who is fooling who
Hawa watu wajinga mno. Uwe na uchumi mkubwa:-Anakwambia nairobi ina millionares wengi kuliko lagos leo nimecheka sana 🤣🤣🤣 hawa watu sijui wanalaana gani ya sifa za who is fooling who
nimeipenda sana hiyo TESLA BUS new model K586ONYANGOMATAGA wanalo, manake wanapenda sana kujiita wazalendo..uzalendo wenu uko wapi, ooo!!kweli upo china kw akina golden lion, youtong
Nchi inategemea mikopo kulipa mishahara alaf anakwambia wana millionares wengi 🤣🤣🤣🤣 yani 2020 walikua na millionarea elf mbili na 2021 corona ikafagia millionarea 912 leo wanakwambia wapo millionares elf 20Hawa watu wajinga mno. Uwe na uchumi mkubwa:-
1. Ushindwe kulipa mishahara mizuri
2. Ushindwe kulisha watu wako
3. Ushindwe kufanya projects zako
4. Ushindwe kuajili watu wako
So many to say. Hawa watu ni wapumbavu mno.
www.capitalfm.co.ke
Tuonyeshe sector ambayo mnalipa watu vizuri kutuliko..Hawa watu wajinga mno. Uwe na uchumi mkubwa:-
1. Ushindwe kulipa mishahara mizuri
2. Ushindwe kulisha watu wako
3. Ushindwe kufanya projects zako
4. Ushindwe kuajili watu wako
So many to say. Hawa watu ni wapumbavu mno.
Pole sana, katafute ubongo kisha ukiupata urudi upya sasanimeipenda sana hiyo TESLA BUS new model K586ONYANGO
Hivi unajua kwanini wachezaji wenu wanakikbilia Tanzania!?Tuonyeshe sector ambayo mnalipa watu vizuri kutuliko..
Nionyeshe sehemu tanzania imelisha watu wake kule chato..
Nionyeshe sehemu kenya hakuna miradi inayoendelea..
Nionyeshe huu mwezi mumetoa ajira ngapi na mi pia nikuonyeshe
Nakusubiria mzee wa mihemko
Mzee unadhani mimi huwa natishwa!?Nakusubiria zee la kulipa mishahara vizuri
Venus Star
Halafu usome hapa:Nakusubiria zee la kulipa mishahara vizuri
Venus Star
We ni mpuuzi sana, mbona unaikimbia mada yetu pendwa...Mzee unadhani mimi huwa natishwa!?
Nimekuuliza kwanini wachezaji wenu wanakimbilia TZ!?