Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na kwa akili yako bus car alitengezewa na dar coach haya lia sasa
View attachment 1757925View attachment 1757926
View attachment 1757930
Bus kawajaribu mkamharibia bus lake jamaa kawakimbia
Ona kitu wewe..body by Master(made in kenya)
images.jpeg-61.jpg
 
We jamaa ujinga wako wa kijinga sana. Unasema wanaweza ila tatizo mfumo mbovu! Sasa wanaweza nini hapo! . Unaona sasa? Sasa hapo fananisha GDP yenu na hicho ulichoandika halafu uniambie mwenyewe. Shule ulipigwa ada wewe.
S.t kayumba product, siku zote kuelewa ni ngumu...
We kweli unajua tofauti ya uwezo na utekelezaji, rudi shule kenge mwitu wewe
 
India inaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya maskini duniani, Japan ina watu wenye kipato kikubwa kuwazidi Marekani

In short Japan population ni 126 million
Wakati India population ni 1.5 billion

Wewe mkenya ni kilaza kupindukia
Ona mpuuzi mwngine naye kaja kuandika pumba, hujui india kilichowafanya wengi wao wabakie katika lindi la umaskini ni nini..
Idadi sio kitu mzee baba, uongozi bora na vyanzo bora vya uchumi ndio huchochea maendeleo..
Sasa india km ni vyanzo vya uchumi wanavyo tele ndio manake uchumi wao upo imara..tatizo uongozi!!

Hapo hapo basi utakuta kilaza kaja kupinga kw hoja za kiboya
 
Mzee tumewawekea makampuni zaidi ya 65 mlikuwa kimya bila kutuonesha chochote. This is childish.
Issue ya buses imefungwa. Ondoa takataka zako.
Hatutumii michina sisi
Nyie sio wakushindana nasi..kenya ni level ya kivyake ukanda wote huu
 
Maskini bus car sijui kashauri na nani jamani kuundiwa body na wachawi
Afadhali ukapeleka kamoja, alipojua kapigwa akarudi mbio mbio
images.jpeg-63.jpg
images.jpeg-64.jpg
 
Back
Top Bottom