Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkiachana na bicycle Taxi mje tuongee
Screenshot_20210420-142209.png
 
Mzee hayo masuala ya kuandika na kutafuta statistics kwenye paper. Yaimeisaidia nini Kenya kuondokana na;-
View attachment 1759542
Thanks for TBT, Nairobi having more water than the day that article was published. I know you hate facts, the day Tanzania will be mentioned with Kenya in the same sentence pia usisahau kunitag tafadhali.

13405899_tapatalk1618608435447_jpeg_jpege772f5376d67d0b7c9fea980408b1d0b.jpeg
 
Well said mkuu. Ila sijakusoma kwenye hiyo aya ya katikati. Naomba unifafanulie kidogo twende sawa.

Ila nina hofu Rioba anaweza kukatwa mabega mda wowote. Itambidi apunguze matumizi ya neno "mabeberu" maana hilo neno ni chukizo kwa wenye nchi ambao ninaamini pasi na shaka kuwa "they are back to business".
Lugenzi Kabale director wa program ya Tanzania Mpya TBC, kutokana na contents zake kuzungumzia sana projects za JPM pamoja na Caliber ya JPM kwenye uzalendo na uchapa kazi nahofia kifo cha JPM kitakua pigo kubwa mno kwa upande wake na program yake.

Na kweli kumbe hata wewe umeona, katika misamiati itayoondoka na JPM ni pamoja na hilo la mabeberu na huenda hata misamiati wa wanyonge tukausahau, naomba msamiati wa uzalendo na kuchapa kazi usiguswe.
 
Hivi pia wataka kulazimisha Isuzu iwe kampuni ya Kenya, loh, wee boya kweli!

Isuzu Motors Ltd, is a Japanese commercial vehicle and diesel engine manufacturing company headquartered in Tokyo. 👆😁
Kwe kwe kwe 😂😂😂😂 mobius nani kanunua na imetemgeza profit kias gan ukipata nitag😁😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom