Mambo kama haya yanawakondesha wakenya
View attachment 1758525
sema shabiby [emoji119]
Mambo kama haya yanawakondesha wakenya
View attachment 1758525
Duh ss huyu Shabiby anachukua space yote hyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mambo kama haya yanawakondesha wakenya
View attachment 1758525
Jamaa anazidi kunawiri tu...najiuliza hawa hawatahujumu train za umeme kweli?Serikal isipokua imara izo train itakua majangasema shabiby [emoji119]
Means of transportation Tz haijawahi kutosha hofu yao tu but treni zitajaa, ndege zitajaa, meli zitajaa, basi zitajaa, BRT zitajaa na bado zitagombaniwa cz tuko zaidi ya milioni 60 mzee so ni lazima utaratibu wa mstari uendelee.Jamaa anazidi kunawiri tu...najiuliza hawa hawatahujumu train za umeme kweli?Serikal isipokua imara izo train itakua majanga
Tulia dawa iingie kwanza basi alafu uje badae uchukue somo upyahueleweki jipange upya
We huoni pia hata sauzi kapuyangaAngola nn kinaendelea sinijuzi tu walikua hadi mbele ya Nyang'au? Sahv hadi tunawazidiView attachment 1758479
Km hujaelewa kaba jomba achana na vi emojisUmepanic[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa unaleta picha za ajali
Jamaa umetumia 1% ya akili mzee, matope kabisa yani..ingelikua biashara inaenda hvo basi we mzee kw fikra zako hzo ungelikua milioneaMeans of transportation Tz haijawahi kutosha hofu yao tu but treni zitajaa, ndege zitajaa, meli zitajaa, basi zitajaa, BRT zitajaa na bado zitagombaniwa cz tuko zaidi ya milioni 60 mzee so ni lazima utaratibu wa mstari uendelee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee mbona siku hizi mmekuwa watu wa kulaumu tu!? Hakuna kitu cha kutuonesha!? Mnapeana zamu.Jamaa umetumia 1% ya akili mzee, matope kabisa yani..ingelikua biashara inaenda hvo basi we mzee kw fikra zako hzo ungelikua milionea
Nitajie usafiri ambao haujazi Tz.Jamaa umetumia 1% ya akili mzee, matope kabisa yani..ingelikua biashara inaenda hvo basi we mzee kw fikra zako hzo ungelikua milionea
Punguza hasira basi 😂😂😂Km hujaelewa kaba jomba achana na vi emojis
Jamaa kaweka wazi kuhusu mipango ya vigogo wa CCM kutaka kumnyima uenyekiti Rais Samia, kachana sana wazi wazi bila kificho mzee, itafute you tube ujionee, kuna sehemu anakwambia kama hawataki basi wewe kubali ila waambie unatoa kinga ya rais alafu tuanze kuwamulika mipango yao haramu nchini humu, itafute mzee jamaa kaongea mengi mnooo, atari atari kaka.Nani tena huyo, imekuwaje.
Cc msemaji wa serikali ya Kenya a.k.a BWANA MAPESA [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli kabisa just imagine nchi kama Kenya ipo mbele kwenye Gdp, Gdp sio kipimo sahihi cha maendeleo, Kenya ipo hovyo kupitilizaAfrika tuko nyuma sana yani nchi kama kenya iko top ten ya gdp na ndo inavyoonekana hali tete duh sijui tunaenda wap
Na bado kunama kampuni mengine km superfeoSijaweka
1. Dar luxy maana wengi wameiweka
2. Tashirif
3. Rahaleo
4. Bembea
5. Mtei nk
Kwenye mabasi kazi tumeimaliza.
Siku wakiifanyia adjustments GDP formula waka introduce deduction of loans from GDP ndipo nitaanza kuielewa hyo formula [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kweli kabisa just imagine nchi kama Kenya ipo mbele kwenye Gdp, Gdp sio kipimo sahihi cha maendeleo, Kenya ipo hovyo kupitiliza