Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa nimemaliza Task niliyokuwa nimejipatia.
Nawqrudia sasa wanaopiga kelele.
Naona Tanzania ni mwendo wa kula bata kila kona, alafu vipi mbone bado title ya "third world" country bado iko. Hapo hata Europe naona hawatoshi, Tz, huko kila kona ni shibe na hela mfukoni, au sio wazee! 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Mimi siposti utopolo wenyu, angalia yamejazana humo ndani! 🤣
Mzee kama umeingia hapa JF kwa upumbavu wako huu tutakuaibisha.
Thread imewazidi ukubwa. Mnaingia bila topic. You attacking others. This is a childish idea.

Lengo la thread hii ni kuelimishana. Wewe unatakiwa ulete mlichonacho huko Kenya kwa facts.
 
Hiyo "Tanzania bound buses" umeandika wewe, hata huna haya, yaonekana!
Hahah mzeee acha ushamba hiyo ni marcopolo g7 achana nayo. Powered by Scaniaa
Onesheni misufuroa yenyuu
FB_IMG_1618915832728.jpg
View attachment 1758163View attachment 1758164
 
Naona Tanzania ni mwendo wa kula bata kila kona, alafu vipi mbone bado title ya "third world" country bado iko. Hapo hata Europe naona hawatoshi, Tz, huko kila kona ni shibe na hela mfukoni, au sio wazee! 🤣 🤣 🤣 🤣
Oya kama huna cha kuandika ni vyema ukakaa kimya. Siyo lazima.
This is a battle Mzee. Leta vitu vyenu tuvione.
 
Unatuletea gari za miaka saba kumi iliyopita, number plate KA mbona ya kitambo sana..watu wako D sasa
Olaa hawa jamaa noma, mabasi ya mwendo kasi eti, BR... What?? Anyway hayo,mbona huwa ndani yako over packed namna ile, hamwogopi kusichafuke hewa humo ndani, itakuwaje??? 😂
 
Ndio usafiri wenu mkuu kwasababu mabasi machache uko😅😅😅
Safari fupi ka za dakika tano hivi, urefu,bado mwataka tupande Scania na Mercedes?
Matatu/Manyanga ndio kazi yake hiyo ya mtaani, alafu tayari waelewe tunavyo ya "pimp" nje hadi ndani, yaani raha tupu safarini. Nitakuja na mrejesho, sahi niko busy, staki ku peruz!
 
Back
Top Bottom