Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

23. SONGWE
Songwe ni mikoa mipya Tanzania. Songwe umepakana na Zambia, Malawi, Ziwa Nyasa, Mbeya na Rukwa.

KILIMO CHA MBOGA MBOGA SONGWE
images - 2021-04-20T132506.172.jpeg
images - 2021-04-20T132515.163.jpeg
images - 2021-04-20T132623.552.jpeg
images - 2021-04-20T132704.882.jpeg
images - 2021-04-20T132718.564.jpeg
 
Wakuu nasikia jana tumepewa 1.2 $ billion na WB, sijui za project ipi?
Ni projects 5. Lazima BRT phase III ni miongoni maana waliahidi kui-finance. Pia kuna ule mradi wa kujenga girls' high school kila mkoa ambao JPM alisema kwenye kampeni kuwa pesa itatolewa na WB. Pia kuna ile pesa ya kuendeleza hifadhi mpya za taifa ambayo WB iliahidi kutoa.

Ngoja wajuvi watujuze zaidi.
 
Back
Top Bottom