President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,772
- 89,799
57. Fikoshi investment buses
Punguza uongo mkuu, hizo Mig 29 labda mwendelee kuota, mliyonayo ni Mig 21! 🤣 🤣 🤣 🤣Wivu unakusumbua,siku ukiziona mig 29 zetu utazimia kabisa kwa jelous
Kati ya Atcl na kq ipi ina domestic route nyingi?



Where are the headquarters of Tahmeed Coaches? Tuanzie hapo.
yaani tunawagonga kila kona nangoja electrical SGR trains zifike! tuwazike rasmi! maana aircraft: Air Tanzania 12 n growing vs KQ's 3 n 27 loans n scaling down, watervessels i had to filter down to Mwanza vs Kenya ferries as the gap was too big for a comparison btn countries! Kwa Buses ni kilio na sasa tunangoja SGR trains...!ukisoma vizur utagundua kwenye mabus wamesurrender..![]()
Endeleeni kutufananisha! Hakuna vaccine isiyokuwa na side effects ikiwa mpya kuundwa, na ukumbuke ilitengenezwa kwa dharura, so vaccine tutapata tu. Risks of side effects is very very low wide world comparing to the people already vaccinated. Unaogopa vaccine wakati tangu uzaliwe unalishwa chanjo tu ;polio, yellow fever, measles nk... Kama wangetaka kukumaliza wangeanza huko.South Sudan plans to dispose of 60,000 expired Covid vaccines
TUESDAY APRIL 20 2021
Covid-19 AstraZeneca vaccine. PHOTO | AFP
Summary
By AFP
- The doses in question were donated by African telecommunications company MTN and the African Union late last month.
More by this Author
South Sudan is looking to dispose of 60,000 expired doses of the Oxford/AstraZeneca vaccine, as rollout of the drugs is hampered by scepticism among the population, a health ministry official said Monday.
The doses in question were donated by African telecommunications company MTN and the African Union late last month.
"When it reached here we later discovered that the (remaining) lifespan of this vaccine is just ... 14 days," Richard Lako, Covid-19 incident manager at the health ministry said
He said that the drugs had since expired and were "already locked somewhere to be dealt with as soon as possible."
Lako said the health ministry and drug authority were working on plans to dispose of the vaccines.
"The ministry is now engaging the African Union and the team with regards to that effect," he said.
In late March South Sudan received a separate 132,000 doses of the AstraZeneca vaccine via the Covax global initiative to ensure lower-income countries receive jabs.
However vaccination took a week to get underway and so far only 2,000 people, mostly health workers, have been vaccinated.
As in other parts of Africa, fears of side-effects, and rumours the vaccine causes impotence or is not safe, have led to wariness in the population.
"The issue (is) rumours. The rumours that people are having of course side effects, that the vaccine is not safe," said Lako.
To date South Sudan has confirmed 10,475 cases of Covid-19 and 114 deaths. It has performed only 144,010 tests for a population of an estimated 12 million -- one of the lowest testing rates in the region.
South Sudan, which is emerging from six years of brutal civil war, also faces serious logistical difficulties in transporting the vaccine around the country, due to lack of roads and security challenges.
![]()
South Sudan plans to dispose of 60,000 expired Covid vaccines
The doses in question were donated by African telecommunications company MTN and the African Union late last month.www.theeastafrican.co.ke
MY TAKE
Kenya wana-destroy zao lini? maana waliletewa wakati mmoja au za Kenya zitaendelea kudungwa kwa wananchi?
Geza Ulole unakuanga na aibu wewe, ati Air Tz 12,KQ 3... Wacha nicheke kwanza??? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣yaani tunawagonga kila kona nangoja electrical SGR trains zifike! tuwazike rasmi! maana aircraft: Air Tanzania 12 vs KQ's 3, watervessels i filtered down to Mwanza vs Kenya ferries! Buses ni kilio na sasa tunangoja SGR trains...!
Buses bado hata robo sijaangusha, mi naona mwatuma mavitu tu hayaeleweki, tuonyesheni pia interior view ya kila ndinga alafu mwache kutuma picha za kufanana, nawa Zoom Zoom Zoom, brooooookeii !!! 🤣 🤣 🤣yaani tunawagonga kila kona nangoja electrical SGR trains zifike! tuwazike rasmi! maana aircraft: Air Tanzania 12 vs KQ's 3, watervessels i filtered down to Mwanza vs Kenya ferries! Buses ni kilio na sasa tunangoja SGR trains...!
Nimeuliza consignment ya AU mliyopewa iko wapi? Maana isha-expire needs to be disposed!Endeleeni kutufananisha! Hakuna vaccine isiyokuwa na side effects ikiwa mpya kuundwa, na ukumbuke ilitengenezwa kwa dharura, so vaccine tutapata tu. Risks of side effects is very very low wide world comparing to the people already vaccinated. Unaogopa vaccine wakati tangu uzaliwe unalishwa chanjo tu ;polio, yellow fever, measles nk... Kama wangetaka kukumaliza wangeanza huko.
😂 😂 😂 😂 Usifanye nionekane mwehu kwa kicheko huku! 🤣arusha, what’s next?
Basi mkuu washakubalii tuhamie sekta nyingine wao wanakampuni 10 tuu ambazo ni
Oh so akili yako inakuonyesha, hizo bidhaa tumeziweka stoo!? 🤣 🤣 🤣Nimeuliza consignment ya AU mliyopewa iko wapi? Maana isha-expire needs to be disposed!
Kudadadeki, umetaja hadi sacco, Mwalimu wako nnani!? 🤣 🤣 🤣Basi mkuu washakubalii tuhamie sekta nyingine wao wanakampuni 10 tuu ambazo ni
Modern coat
Coast bus
Mash poa
Simba
Buscar
Eldoret express
Easy coach
sijui
Ata kumi zenyewe sijui kama zinafika zaidi ya hapo wanatumia viaisi (matatu) tuu kusafiri ambazo ni
Mololine sacco
Naekana sacco
North rift sacco
Vimatatu ndio vimejaa Kenya hususan ruti ya Nairobi kisumu, mabasi mengi yapo ruti ya Nairobi mombasa tuu
Niliwabia Tanzania ipo na mabasi zaidi ya 100 tena mazuri mno. Ninataka hii mada ya kuhusu mabasi iishe kabisa wasirudie tena.Basi mkuu washakubalii tuhamie sekta nyingine wao wanakampuni 10 tuu ambazo ni
Modern coat
Coast bus
Mash poa
Simba
Buscar
Eldoret express
Easy coach
sijui
Ata kumi zenyewe sijui kama zinafika zaidi ya hapo wanatumia viaisi (matatu) tuu kusafiri ambazo ni
Mololine sacco
Naekana sacco
North rift sacco
Vimatatu ndio vimejaa Kenya hususan ruti ya Nairobi kisumu, mabasi mengi yapo ruti ya Nairobi mombasa tuu