NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,044
- 19,239
Sijaona double decker bus bongo.
Abood bus, leo mtakunya leo mmeingia sehemu mby sn [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji86][emoji86][emoji90][emoji90][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Benz hujapata bado mm nimekupa benz aina tatu weww hata moja hujapata🤣🤣👇👇
Hvi vitu utakimbia wewe👇👇👇
Ya kubeba watalii na kuwazungusha mombasa 🤣🤣🤣🤣
Hzi gemilang scania zimejaa kama takataka
Master fabricators 😁😁 benz umekosa na irizar umekosa sasa unatuletea hzo
Oh, kumbe nimekutumia NISSAN! 🤣 🤣 🤣Benz hujapata bado mm nimekupa benz aina tatu weww hata moja hujapata🤣🤣👇👇
Aina ya kwanza
View attachment 1757049View attachment 1757050
Aina ya pili👇👇👇👇View attachment 1757051
Aina ya tatu👇👇👇👇👇View attachment 1757052
Sio "hzo",,, zitaje jina! 🤣Master fabricators 😁😁 benz umekosa na irizar umekosa sasa unatuletea hzo