Hata we pia mwanao yakimkuta urudi hapa kupiga sogaunaakili ndogo sana tena za panya,,,,
vipi akishajifungua awe pia anaenda na mtoto darasani..?
nenda nchi za wazungu uone kama utakuta idadi ya mimba za utotoni kizembe ,hiyo sheria wameipitisha sababu serikali za wenzetu walishatengeneza mazingira ya kuprotect watoto wao kitambo sana kuanzia kisheria mpaka kitaalam (medical pregnant protector) sasa wewe kurupuka kama msukule uliotoka motual[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kwanza huyo mtoto anayepata mimba utotoni ,mimba ikishafika kipindi cha miezi kadhaa tu hakuna atakacho gain class mimba itakuwa tiyari ime muaffect ,,,acha uchizi
Waliongelea nn tofaut hebu tujuze 😄😄😄Alafu mbona juzi bungeni waliongea mengine[emoji23][emoji23]kweli nchi imejinyea
Nani kasema mengine leta hio link kua yamesemwa mengine 😃😃😃 bunge lenyewe halina upinzanipSasa mbona juzi mkasema mengine, nyie hata order hamjatoa
Kwa hivyo kwa akili yako wewe mkweli ni yupi hapo? Kuna watu mnakera ki ukweli. Kama hujalielewa bandiko ya nini kujibu? Kitu hukielewi unakausha.CAG analipwa na serikali,ukaguzi anakagua aliyoyakuta haji na taarifa zake,na kabla hajaondoka wanaohusika wanasign kudhibitisha Ni kweli alioyaona sasa wewe unafikiri CAG nimwanasiasa au vp?Nachukia sana watu mnaoogopa ukweli maana bila ya kuambiwa ukweli hamuwezi kubadilika
Sishangai, haya mambo siyo size yenu. Niletee mradi wenu wa tune ya $2.3bn mnaotekeleza kwa fedha zenu wenyewe kisha tuendelee na debate. Otherwise just cool down baby!Acha utahira wewe, jipe shughuli tu manake unayoyataka sio size yako
Waogopee watanzania wenzako wazee wa bando, utawafanya waingiwe na kiwewe cha kuangalia angalia salio kila wakati
yaaah ,,tena na mramba viboko vya kutosha ikiwezekana namtimua kabisa kwangu....Hata we pia mwanao yakimkuta urudi hapa kupiga soga
We unajua maana ya haki kweli au ni kujito ufahamu tu ndio unatakaHaki na wajibu ni pande katika sarafu moja. Hivyo vitu haviachani.
What an ugly city, eyesore😬
Kaagize kinywaji baridi jomba unywe alafu talipa mwnywe, yani umeandika vitu vya maana sana mpka nakuta kweli kumbe bado duniani kuna watu wanajali haki sawa katika jinsia zote mbili wala sio kukandamizana tu..Hapa Ndio tatizo linapoonekana kwenye malezi na utamaduni wa waafrika/ watanzania kiujumla!
Wewe unaongea kuhusu watoto kushawishiana na hauangalii kosa la wazaxi kutowafunza watoto wa jinsia zote Mbili!
Kwanza mimi sijasema kuwa mtoto huyu arudi shule na mwingine aende jela! Nimekataa kabisa suala la jela na suala la kufukuza watoto shule!
Na ukishamfunga mtoto miaka 30 labda utakuwa unafaidika na kitu gani? Au ni mabadiliko gani unayoyatengeneza? Serikali inatumia tax payers’ money kuwalisha, pia serikali inapoteza human capital. Pia kuna dependency ya Yule mtoto aliyeachwa na mama yake akaenda jela. Na Kwa hao watoto unaowafunga jela siku wakitoka wanarudi square one Maana hawana chochote kujikimu kimaisha. Ni Sawa na kuwasindikiza kwenda kwenye Shimo la umasikini!
Mzazi Ana wajibu wa Kuelimisha mtoto/ watoto wake! Wazazi wengi wa kiafrika/ kitanzania tunawaacha watoto wetu wajiongoze wenyewe. Hatuwapi sex eduction. Hatuwaelimishi kuhusu magonjwa ya ngono eti kisa sio “utamaduni wetu” kuongea na mtoto kuhusiana na maswala ya ngono! Wewe kama mzazi usipomuelimisha mwanao au mtoto wako asiposikia kuhusu maswala haya kutoka kwako kwanza, atasikia kutoka kwa marafiki zake ambao watampa peer pressure ya kujiingiza kwenye sex akiwa bado mdogo!
Na kawaida teenagers wana fluctuations za sex hormones! Na hizi fluctuations zina affect jinsi wanavyofikiria maswala ya ngono na hupelekea kuwashawishi kujiingiza kwenye sex!
Wewe argument yako nzima iko based kwenye kitu kimoja ambacho ni MORALITY! Eti kwamba hawa watoto wanajiingiza kwenye “umalaya” (maneno yako) na hivyo adhabu yao wapelekwe jela kwa miaka 30. Duh aisee hivi unaelewa unachokizungunza? Huoni kwamba morality inakuwa linked na jinsi Mzazi unavyomfunza mtoto wako?
Wizara ya elimu inapaswa itumie mbinu mbadala kuielimisha jamii kuhusu hili swala. Matangazo ya redio ama televisheni kuwahasa wazazi kuelimisha watoto wao ni muhumu mno! Kukatisha masomo ya mtoto ni Sawa na kuipinga katiba! Kila mtoto ana Haki ya kupata elimu. Jinsi atakavyojiendeleza baada ya hiyo elimu ni juu yake.
Inaonyesha Magufuli ataishi vichwani mwenu nyie haters wake kwa muda mrefu kuliko hata sisi wafuasi wake. Hiyo ndiyo sifa moja wapo ya legends. Kila uchao akili zenu zinapambana na legacy ya Magu. So lazima mje na vipost vya aina hiyo kupunguza sumu! Vippers!Alikuwa "anarara" na ma-file kitandani MEKO alikuwa ana style ya kifala sana kudanganya MATAGA.
View attachment 1753817
Kuna wanafunzi walijifungulia nyumbani pindi wapo shuleni na wakarudi kuendelea na masomo yao km kawaida hku kaacha mtoto nyumbani..unaakili ndogo sana tena za panya,,,,
vipi akishajifungua awe pia anaenda na mtoto darasani..?
nenda nchi za wazungu uone kama utakuta idadi ya mimba za utotoni kizembe ,hiyo sheria wameipitisha sababu serikali za wenzetu walishatengeneza mazingira ya kuprotect watoto wao kitambo sana kuanzia kisheria mpaka kitaalam (medical pregnant protector) sasa wewe kurupuka kama msukule uliotoka motual[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kwanza huyo mtoto anayepata mimba utotoni ,mimba ikishafika kipindi cha miezi kadhaa tu hakuna atakacho gain class mimba itakuwa tiyari ime muaffect ,,,acha uchizi
UmepanicSheria ni msumeno, ukizingatia hayo utaishi kwa raha duniani hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Picha za miradi inayoendelea Tanzania zikipostiwa humu huwa anaanza kumu-attack JPM.Inaonyesha Magufuli ataishi vichwani mwenu nyie haters wake kwa muda mrefu kuliko hata sisi wafuasi wake. Hiyo ndiyo sifa moja wapo ya legends. Kila uchao akili zenu zinapambana na legacy ya Magu. So lazima mje na vipost vya aina hiyo kupunguza sumu! Vippers!
Kwani wewe hujui kusoma mbona unauliza kila kituKwa hivyo kwa akili yako wewe mkweli ni yupi hapo? Kuna watu mnakera ki ukweli. Kama hujalielewa bandiko ya nini kujibu? Kitu hukielewi unakausha.
Haki simjui ndiyo namsikia hapa JF.We unajua maana ya haki kweli au ni kujito ufahamu tu ndio unataka