ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Mwezi wa nane funga safari uje ushuhudie treni ya kwanza east africa ya umeme aina ya bullet from south korea ikichanja mbunga kaa tayari 🤣🤣🤣🤣Ndio kile miaka miwili sio[emoji122][emoji122]
Mwezi wa nane funga safari uje ushuhudie treni ya kwanza east africa ya umeme aina ya bullet from south korea ikichanja mbunga kaa tayari 🤣🤣🤣🤣Ndio kile miaka miwili sio[emoji122][emoji122]
Unawakumbuka wale washikaji ambao wakimpenda demu halafu wakishindwa kumpata huyo demu wanaanza kumponda huyo demu?Alaf swali la kujiuliza magufuli anawahusu nn wakenya hilo ndio swali muhimu zaidi, na kama hawahusu kwann wanamchukia jibu ni moja tu, wanaona wivu kuona tanzania imefanikiwa pakubwa sana kwenye wakati wake na kawabana sana hasa kwenye madini ya tanzanite
Hahahaha asante kwa kukubali kwamba JPM was beast kwamba umekubali hayo yote aliyafanya ndani ya kipindi kifupi cha uongozi wake sasa na wewe tuambie Uhunye kafanya nini kwa miaka yote aliyoishi kwenye hiyo ikulu kibanda umiza[emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji382][emoji382][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji3545][emoji3545]Kwn nyie ndio mumeanza kuvifanya sai hvo
Alafu ukumbuke bado madudu yamejaa km sisimizi vile, nianze sai kukupa
We chorea man[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umekasirika sasa ulijua hapo hutoki na ungejibu tu ukaona saaa hvi au unafkiri tupo huko huko hatuyajui ama??
Leta update nikuwashe usiku mamaee danganya hapa nikuumbue sasa hvi🤣🤣We chorea man
We mpuuzi nini, njoo mombasa bwege wewe nikupigishe deki alafu usondeMwezi wa nane funga safari uje ushuhudie treni ya kwanza east africa ya umeme aina ya bullet from south korea ikichanja mbunga kaa tayari [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haki wewe ukija katila mijada ya hku utachekwa, hata hujui unataka niniLeta update nikuwashe usiku mamaee danganya hapa nikuumbue sasa hvi[emoji1787][emoji1787]
Haya mabasi yakichoka ndo huwa yanauzwa Kenya [emoji86][emoji86][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji200][emoji200][emoji1241][emoji1241][emoji1241]View attachment 1754076
Wanamjua ni nani 👇👇👇👇He deserved nothing but death [emoji23][emoji382][emoji88] huko jehanamuView attachment 1754017
Ni lini, emu mlitoa oda lini?Mwezi wa nane funga safari uje ushuhudie treni ya kwanza east africa ya umeme aina ya bullet from south korea ikichanja mbunga kaa tayari [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Leta update kua barabara ya mombasa to kilifi mpaka malindi imetengenezwa hapa 🤣🤣 alaf uoneHaki wewe ukija katila mijada ya hku utachekwa, hata hujui unataka nini
Viko wapi au ni madudu tu ndio amejaza, sisi tulivifanya 80s kw taarifa yakoHahahaha asante kwa kukubali kwamba JPM was beast kwamba umekubali hayo yote aliyafanya ndani ya kipindi kifupi cha uongozi wake sasa na wewe tuambie Uhunye kafanya nini kwa miaka yote aliyoishi kwenye hiyo ikulu kibanda umiza[emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji382][emoji382][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji3545][emoji3545]
Sent using Jamii Forums mobile app
CAG anasema Tsh10b kurepair printer ya JPM. Rais alikua na kazi nyingi anaprint[emoji23][emoji23][emoji23][emoji88][emoji88][emoji382][emoji382]Hyo peinter maintanance & repair ilikua inakula hela ngapi nayo, CAG tujuze
mpaka wanafunzi wapo korea wanachukua trainingNi lini, emu mlitoa oda lini?
Nitag ukipata kasema, magufuli kakunyima usingizi miaka 6 ukifkiri mambo yatayumba hahahaha huyu mama ndio mutakoma naeCAG anasema Tsh10b kurepair printer ya JPM. Rais alikua na kazi nyingi anaprint[emoji23][emoji23][emoji23][emoji88][emoji88][emoji382][emoji382]
Bakhresa ni mpemba asili yakeBakhresa ni burushi wa kiarabu sio mhindi we fala