Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na kuonesha namna gani alikua na nguvu na bado ana nguvu ni namna anavyowatesa while in 6 feet under, bado mnateseka na mtazidi kuteseka, hamtakaa mpate heshima hata theluthi ya JPM wala hamtakaa mpendwe na ulimwengu kama alivyopendwa JPM

Wewe choice variable unateseka kila siku na I'd kama million upo kama kichaa na inaonekana ni namna gani JPM anakutesa.

Uzuri ni kwamba Magufuli effects are very alive and active on all levels of government and public, huwezi kulikwepa hilo, legacy yake ni ya milele.
Si ajinyonge tu yanini kuteseka [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kuonesha namna gani alikua na nguvu na bado ana nguvu ni namna anavyowatesa while in 6 feet under, bado mnateseka na mtazidi kuteseka, hamtakaa mpate heshima hata theluthi ya JPM wala hamtakaa mpendwe na ulimwengu kama alivyopendwa JPM

Wewe choice variable unateseka kila siku na I'd kama million upo kama kichaa na inaonekana ni namna gani JPM anakutesa.

Uzuri ni kwamba Magufuli effects are very alive and active on all levels of government and public, huwezi kulikwepa hilo, legacy yake ni ya milele.
Kumbe haka ni kale kajinga choice variable, huwa wakati mwingine kanajifanya kakenya, kuna uzi kule jukwaa la siasa kaliona jamaa kaanzisha uzi wa Magu kakafikiri ni mm kisa avatar zimefanana kakaanza kumshambulia jamaa huku kanamkonect na jukwaa hili nilicheka sn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aya yako ya pili, hakuna haki bila wajibu. Unasema haki ya kikatiba, ni sahihi, lkn hiyo inaendana na wajibu wa mtoto wa kike kujitunza. Akishindwa hiyo haki hipotea.
Hakuna kupeleka malaya shule ya Government na kama wanataka hivyo basi waondoe sheria ya miaka 30. Malaya akipata mimba aende private mbn simple tu, km alibakwa basi sheria zipo lkn sio anataka mwenyewe alafu mmoja aende jela mwingine arudi shule ni upumbavu.

Elimu ni haki ya kila mtoto, sasa we wajibu unaingiliaje hapo
 
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Hakuna kupeleka malaya shule ya Government na kama wanataka hivyo basi waondoe sheria ya miaka 30. Malaya akipata mimba aende private mbn simple tu, km alibakwa basi sheria zipo lkn sio anataka mwenyewe alafu mmoja aende jela mwingine arudi shule ni upumbavu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba 80s mlijenga reli ya umeme, mlijenga bwawa kubwa la kuzalisha umeme, mlijenga three level interchange, mlijenga meli kubwa za abiria na mizigo, haya viko wapi sasa hebu tuoneshe [emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
Afadhali ukaamua kupindisha hvo hvo, nikikuuliza unilete screenshota ya hayo unayoyaongea km niliyasema wapi utaniletea au ni kujiropokea tu km kawaida yenu
 
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Alafu mbona juzi bungeni waliongea mengine[emoji23][emoji23]kweli nchi imejinyea
 
Afadhali ukaamua kupindisha hvo hvo, nikikuuliza unilete screenshota ya hayo unayoyaongea km niliyasema wapi utaniletea au ni kujiropokea tu km kawaida yenu
Kwamba huyu co wewe huyu [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji1787]
Screenshot_20210417-001302.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Enheee!!nimesema sgr na interchanges za 80s[emoji23][emoji23]
We kweli ulipita lugha hko shuleni
Haya niambie vitu gn hivyo mlivifanya 80s nasubiri [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wivu mzigo wallahi [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji200][emoji200][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji3545]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wewe hapa umeandika nini[emoji23][emoji23][emoji23]
Pumba tupu tuView attachment 1754110
Hatoki mtu hapa[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji86][emoji118]

Back
Top Bottom