Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakuu, anayejua CAG alilipwa na nani kutengeneza ile ripoti yake anijuze tafadhali. Nina hamu ya kujua nani na nani wanatuuza!

Pia yule aliyesema hatuna wataalam hivyo makandarasi na makonsaltant wa nje waje na wataalam wao mpeni hizi salamu.

Nilishangaa sana yule mwendawazimu alipodai mradi wetu wa JNHPP unatumia feasibility study ya mwaka 70. Hebu mtazame mwenyewe mtaalamu wetu mzalendo akitema madini hapo.
CAG analipwa na serikali,ukaguzi anakagua aliyoyakuta haji na taarifa zake,na kabla hajaondoka wanaohusika wanasign kudhibitisha Ni kweli alioyaona sasa wewe unafikiri CAG nimwanasiasa au vp?Nachukia sana watu mnaoogopa ukweli maana bila ya kuambiwa ukweli hamuwezi kubadilika
 
Wakuu, anayejua CAG alilipwa na nani kutengeneza ile ripoti yake anijuze tafadhali. Nina hamu ya kujua nani na nani wanatuuza!

Pia yule aliyesema hatuna wataalam hivyo makandarasi na makonsaltant wa nje waje na wataalam wao mpeni hizi salamu.

Nilishangaa sana yule mwendawazimu alipodai mradi wetu wa JNHPP unatumia feasibility study ya mwaka 70. Hebu mtazame mwenyewe mtaalamu wetu mzalendo akitema madini hapo.
Acha utahira wewe, jipe shughuli tu manake unayoyataka sio size yako
 
Breaking news: Total and CNOOC ready for Ugandan crude exports via pipeline to Tanzania

Sam Chambers
Sam Chambers
April 16, 2021
0 74 Less than a minute

Tsuneshi-Aframax-e1607854830979.jpg

Aframaxes are set to haul crude from landlocked Uganda following news of a major pipeline construction across East Africa.

France’s Total and China’s state controlled CNOOC, in tandem with the Ugandan and Tanzanian governments, will invest $3.5bn on a 1,445 km pipeline running from western Uganda’s oil fields to the Tanzanian port of Tanga.

“Aframax tankers are expected to be loaded for onward transportation, with refineries in Asia and possibly the Middle East the likely destinations,” suggested Alphatanker in a new report.

According to Total’s CEO, the whole project, including upstream expenses, will cost around $10bn and should see crude production eventually hit 230,000 barrels per day. The pipeline is expected to be commissioned in 2024.

Kwa taarifa yajko service za azam marine zinafanywa kwenye karakana ipo zanzibar na ndio mulikua munadanganya watu kua nyinyie ndio munatengeza australian boats
Kwhyo unapinga hilo dude hapo secco sio la tz
 
Back
Top Bottom