Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukweli wa kutumika kwa badhi ya vipengele kwenye ile physibility study ya 80 na sio 70....mbona akuandika kuwa ni baadhi ya vipengele vilivyo chukuliwa toka kwenye physibility study ya 80, yeye akajumuisha kama kweli amefanya kazi yake ? Je ni kwanin apotoshe?
Kwhyo unamchukia CAG
 
Umesoma hii article Kweli? Maana inaongelea sababu za wangi wa Mimba za utotoni huko Meru, Kenya.

Na kama elimu ni haki ya kila mtoto hapa Tanzania, Kwa nini watoto waliopata ujauzuto wisipate hiyo haki? Denying them access to attend school violates their constitutional right to education!

Hili swala si la kukurupuka kusema kuwa hao watoto wasiende shule si la busara. Unaposema watoto hawa waliopata ujauzito wasirudi shule ni Sawa na kuwaondolea fursa kujiendeleza kimaisha. Wakifukuzwa shule watoto hawa it is highly likely wanaangukia kwenye Kuolewa, wanakubwa na Ugumu wa maisha, wanakuwa discriminated na jamii, ambayo huwapelekea kuwa prone to mental health issues na depression, na bila kusahau kiujumla wanaingia kwenye Wimbi la umasikini. Mtu mwenye potential ya kujiendeleza kielimu anaishia kuuza karanga huku akitafuta kwa ajili ya yeye na mtoto wake.

Inabidi tujiulize Kwa nini Afrika Ndiyo inayoongoza duniani kwa underage pregnancies! Kwasababu jamii zetu na familia kiujumla zinachangia kwa kiasi Kikubwa kwenye Hili swala. Hatuwapi watoto wetu sex education. Ni familia chache sana za kiafrika/ kitanzania unakuta wazazi wanaelimisha watoto wao kuhusu mambo ya adolescence na kujikinga! Ndio, kuna watoto wanaosikia wakiambiwa jambo lakini lazima kuwepo na wale wasiosikia na ni vyema kushauri watumie Kinga ili kunjilinda dhidi ya mimba na magonjwa ya ngono kama HIV/AIDS!

Na hii elimu isiwe Kwa wasichana tu Bali na watoto wa kiume. Unakuta Mzazi anamkanya mtoto wake wa kike halafu hamkanyi yule wa kiume. Matokeo yake? Yule wa kiume Ndio anaenda kumpa Mimba mtoto wa mzazi mwingine!

Kiufupi ni vyema kuwaelimisha watoto wetu na kama kwa bahati mbaya mtoto amepata ujauzito kuwepo na program za kuwaruhusu warudi shule. Baada ya kujifungua inabidi mtoto msichana arudi shule na shuleni kuwepo na counseling services za kuwasaidia hawa watoto Maana mara nyingi huwa nwanaathirika kisaikolojia.

Inabidi Jamii zetu zibadilike kwanza ili tuone matokeo. Kukatisha masomo ya wanafunzi au kuwafunga will NEVER break the cycle! Lakini kwa wale watoto wanaopata ujauzito kutokana na sexual assault, inatakiwa wafanyiwe counseling services na watu responsible wachukuliwe Hatua za kisheria.

Ninakaribisha maoni yenu.
Safi sana, nakipongeza kw hili
 
Na nyie mbona mnapenda kuwabagua wazungu wa kenya km hupendi ubaguzi[emoji23][emoji23]
Leo yamewafika sasa mnajitia uungwana wa peni mbili na sumni

Acheni wahindi wa gujurati wapige hela bana, nyie wazaramo pambaneni na hali zenu za undugu na umoja
Sijawahi kubaguliwa Tanzania.
Kabila langu sikumbuki ni lini nimewahi kuulizwa.
Halafu kubwa kuliko sasa...sifahamu kabila la Rais wetu, sifahamu kabila la makamu wa Rais pia sifahamu kabila la waziri mkuu.

Nipo kikazi kwenye mkoa ambao sio asili ya kabila langu na sijawahi kubaguliwa...yaani kiswahili kimetuunganisha Watanzania tumekuwa kitu kimoja [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijawahi kubaguliwa Tanzania.
Kabila langu sikumbuki ni lini nimewahi kuulizwa.
Halafu kubwa kuliko sasa...sifahamu kabila la Rais wetu, sifahamu kabila la makamu wa Rais pia sifahamu kabila la waziri mkuu.

Nipo kikazi kwenye mkoa ambao sio asili ya kabila langu na sijawahi kubaguliwa...yaani kiswahili kimetuunganisha Watanzania tumekuwa kitu kimoja [emoji23][emoji23][emoji23]
Bwahaha!!umeongea pumba[emoji23][emoji23]
Hapa hutoki, narudia tena mbona wazungu wa kenya hamutaki kuwakubali km wakenya..
Swali rahisi, mara hee!!haa!!hii
Kwn mm ndio naishi sehemu ambayo ni ya kabila letu, we kweli chizi[emoji23]
 
Bwahaha!!umeongea pumba[emoji23][emoji23]
Hapa hutoki, narudia tena mbona wazungu wa kenya hamutaki kuwakubali km wakenya..
Swali rahisi, mara hee!!haa!!hii
Kwn mm ndio naishi sehemu ambayo ni ya kabila letu, we kweli chizi[emoji23]
Nani kakuambia hapa naongea? Hapa naandika tu.
Karne ya 21 bado mnabaguana na kuchinjana kisa makabila!
Halafu huwa hii mada ya ukabila inakuchoma kama pasi...inaelekea ushawahi kubaguliwa kisa kabila lako.
 
Kesho Vijana wanakula Shavu

IMG_6817.jpg

d4a4cefa-85e1-4cd6-943b-8d7d184e471e.jpg
 
This is very sad. So much potential has been lost already. Are the Tanzanian women in power blind? Ironically, our minister of education is a woman and so is our president. Yet nothing has been done!

And Why isn’t anyone else talking about this? Oh yes, we like to sweep things under the rug. And people here don’t want to agree with the fact that Magufuli’s approach to this issue was problematic! SMH 🤦🏽‍♂️
 
CAG analipwa na serikali,ukaguzi anakagua aliyoyakuta haji na taarifa zake,na kabla hajaondoka wanaohusika wanasign kudhibitisha Ni kweli alioyaona sasa wewe unafikiri CAG nimwanasiasa au vp?Nachukia sana watu mnaoogopa ukweli maana bila ya kuambiwa ukweli hamuwezi kubadilika
Je unaamini kwamba CAG ni msema kweli daima? Sasa kama ni msema kweli mbn hakuweka wazi kipindi kile cha mwamba? Kama alifungwa mdomo it means anaweza akaingiliwa na mamlaka ya juu, sasa kama anaweza kuingiliwa na mamlaka ya juu kwnn hutaki kuamini anachosema mwenzio?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matajiri wa bongo nyie mnawajua wkt matajiri wa Kenya sijui hata mmoja, u know what richest people in Tz are also richest people in Kenya and other countries in the region utake usitake[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nani asiyemjua bilionare alietekwa nyara, 😂😂😂 hio habari ili trend sana mpaka bbc.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji382][emoji382]View attachment 1753820
Hakuna binadamu duniani aliliwa kama Magufuli, hiyo ni record imewekwa ulimwenguni, he was the most loved human ever happened in our modern time na mpaka kesho bado analiliwa

Anaesema alifurahi ni maumivu na uchungu kuona how he was disappointed by public justice

Mpaka kesho anakumbukwa, UN breaking up its usual schedule just for JPM
 
Back
Top Bottom