Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kumbe haikueleweka

huyu madam ruth ni mchungaji huko kenya, hapo anapigwa chanjo ya corona..began ana tatoo dah
View attachment 1754099
Yaani Hawa ni mapunga,ona nahii👇

FB_IMG_1617104863226.jpg
 
kwani uliambiwa hizo file huwa zinatapakaa hapo kila siku....?
je unajua hizo file zilikuwa hapo kwa misingi gani...?..

acha kuwa na akili ya kunguru[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nmepeana sababu yangu kwamba izo faili ziko hapo sababu magu alikua fala flani na mshamba wa kutupwa. Worst president of 21st century.

Wewe hujapeana sababu ya hizi faili kua hapo. Makende ya siafu
View attachment 1754155
 
We nae unaongea pumba tu, shame on you, sasa kuwa na files nyingi mezani au kuto kuwa na files nyingi, ndio mada ya kujadili.?😂😂 Mijitu mizima mengine bhana sijui michoko.?😂😂🏃🏃
 
Nmepeana sababu yangu kwamba izo faili ziko hapo sababu magu alikua fala flani na mshamba wa kutupwa. Worst president of 21st century.

Wewe hujapeana sababu ya hizi faili kua hapo. Makende ya siafu
View attachment 1754155
We mjomba utakua unaliwa wew 😂😂😂, kwasababu haiwezekani eti unaishkia bango mada ya mafaili, hovyo kabisa wewe, mtu mzima hasidi weye, mtu mzima hovyo wew, fisadi kiwembe wew, hamnazo wewe 😂😂😂🏃🏃🏃, nenda ukafanye kazi uko upate hela ya ugali, njaa ndio inakusumbua wew
 
Aya yako ya pili, hakuna haki bila wajibu. Unasema haki ya kikatiba, ni sahihi, lkn hiyo inaendana na wajibu wa mtoto wa kike kujitunza. Akishindwa hiyo haki hipotea.
Mbona unaangalia upande mmoja Peke yake? Kwa nini mtoto wa kike ndiye ajitunze tu? Na wa kiume je? Hii ndiyo mentality ya waafrika wengi! Kuwa mtoto wa kike ndiye yuko responsible “kujitunza” na huku watoto wenu wa kiume hamuwafundishi swala Hilo Hilo. Ukisoma post yangu hadi mwisho utaona jinsi nilivyo suggest kuwa ni muhimu kutoa elimu Kwa jinsia zote mbili! Na pia, huoni tatizo la wazazi wa kiafrika? Unasema mtoto ajitunze automatically bila kuelimishwa na mzazi wake? Wazazi wengi wa Kiafrika hawana uthubutu wa kuwapa watoto wao sex education Na Ndio Maana watoto wanajiongoza wenyewe na kupelekea kupata ujauzito. Na Mimba za utotoni Pia zinasababishwa na watu wazima! Ubakaji pia ni sababu watoto wa kike wanapata mimba wakiwa shule!
 
Hapo umeboresha kidogo. Wajibu na haki iwe kwa wote. Hongera kwa hilo.
 
Naomba nikujibu kama ifuatavyo, ishu hapo co tu kurudi shule bali anatakiwa aende jela miaka 30 kama ambavyo wa kiume anavyopelekwa jela, huwezi kuniambia eti ameshawishiwa na wa kiume kwn yeye akili hana? So hakuna kurudi shule kwa kijana wa kike aliyeanza mchezo mchafu shuleni na kama baba ake ake au mama ake anataka arudi shule hamna shida ampeleke private na sio arudi Govt akafundishe umalaya wenzie.

Na kama kutalazimika mabadiliko ya hiyo sheria basi iangalie pande zote mbili kwamba either wote wawili wa kiume na wakike waende jera miaka 30 au wote waachiwe waendelee na mambo yao lakini hili suala la kutetea wa kike arudi shule and at the same time wa kiume anaelekea jela ni double standard ya kiwango cha tembo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa Ndio tatizo linapoonekana kwenye malezi na utamaduni wa waafrika/ watanzania kiujumla!

Wewe unaongea kuhusu watoto kushawishiana na hauangalii kosa la wazaxi kutowafunza watoto wa jinsia zote Mbili!

Kwanza mimi sijasema kuwa mtoto huyu arudi shule na mwingine aende jela! Nimekataa kabisa suala la jela na suala la kufukuza watoto shule!

Na ukishamfunga mtoto miaka 30 labda utakuwa unafaidika na kitu gani? Au ni mabadiliko gani unayoyatengeneza? Serikali inatumia tax payers’ money kuwalisha, pia serikali inapoteza human capital. Pia kuna dependency ya Yule mtoto aliyeachwa na mama yake akaenda jela. Na Kwa hao watoto unaowafunga jela siku wakitoka wanarudi square one Maana hawana chochote kujikimu kimaisha. Ni Sawa na kuwasindikiza kwenda kwenye Shimo la umasikini!

Mzazi Ana wajibu wa Kuelimisha mtoto/ watoto wake! Wazazi wengi wa kiafrika/ kitanzania tunawaacha watoto wetu wajiongoze wenyewe. Hatuwapi sex eduction. Hatuwaelimishi kuhusu magonjwa ya ngono eti kisa sio “utamaduni wetu” kuongea na mtoto kuhusiana na maswala ya ngono! Wewe kama mzazi usipomuelimisha mwanao au mtoto wako asiposikia kuhusu maswala haya kutoka kwako kwanza, atasikia kutoka kwa marafiki zake ambao watampa peer pressure ya kujiingiza kwenye sex akiwa bado mdogo!

Na kawaida teenagers wana fluctuations za sex hormones! Na hizi fluctuations zina affect jinsi wanavyofikiria maswala ya ngono na hupelekea kuwashawishi kujiingiza kwenye sex!

Wewe argument yako nzima iko based kwenye kitu kimoja ambacho ni MORALITY! Eti kwamba hawa watoto wanajiingiza kwenye “umalaya” (maneno yako) na hivyo adhabu yao wapelekwe jela kwa miaka 30. Duh aisee hivi unaelewa unachokizungunza? Huoni kwamba morality inakuwa linked na jinsi Mzazi unavyomfunza mtoto wako?

Wizara ya elimu inapaswa itumie mbinu mbadala kuielimisha jamii kuhusu hili swala. Matangazo ya redio ama televisheni kuwahasa wazazi kuelimisha watoto wao ni muhumu mno! Kukatisha masomo ya mtoto ni Sawa na kuipinga katiba! Kila mtoto ana Haki ya kupata elimu. Jinsi atakavyojiendeleza baada ya hiyo elimu ni juu yake.
 
Naomba sana yamkute mwanao
unaakili ndogo sana tena za panya,,,,

vipi akishajifungua awe pia anaenda na mtoto darasani..?
nenda nchi za wazungu uone kama utakuta idadi ya mimba za utotoni kizembe ,hiyo sheria wameipitisha sababu serikali za wenzetu walishatengeneza mazingira ya kuprotect watoto wao kitambo sana kuanzia kisheria mpaka kitaalam (medical pregnant protector) sasa wewe kurupuka kama msukule uliotoka motual[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

kwanza huyo mtoto anayepata mimba utotoni ,mimba ikishafika kipindi cha miezi kadhaa tu hakuna atakacho gain class mimba itakuwa tiyari ime muaffect ,,,acha uchizi
 
Nmepeana sababu yangu kwamba izo faili ziko hapo sababu magu alikua fala flani na mshamba wa kutupwa. Worst president of 21st century.

Wewe hujapeana sababu ya hizi faili kua hapo. Makende ya siafu
View attachment 1754155
[emoji19][emoji23][emoji19][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hueleweki ...

jjpangs upya mzee
 
We nae unaongea pumba tu, shame on you, sasa kuwa na files nyingi mezani au kuto kuwa na files nyingi, ndio mada ya kujadili.?[emoji23][emoji23] Mijitu mizima mengine bhana sijui michoko.?[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]
[emoji41][emoji1787][emoji19][emoji19][emoji19] nimecheka kweli yaani hata haeleweki
 
Back
Top Bottom