Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You STFU! There is no “we” in this. “We shOulDn’T beLiEvE aNyBoDy” and you go on to defend your biased beliefs! What an idiot!

From the beginning I said that I always supported magufuli’s efforts, however, there were things that he did that I never supported. I have the freedom to express my views even if they do not align with yours! So save your breath and keep your shallow thoughts to yourself!

Unasema kuwa ununuzi wa ndege shirika jipya tutegemee losses right? Magufuli aliwahi kusema ATCL inatengeneza losses? As a matter of fact, he once tweeted that ATCL made billions in profits! There was never honesty and transparency!

Also, I never started the topic about Mbezi Louis bus terminal. It was brought up by someone I was arguing with and since I do not like to participate in arguments that involve topics I’m not familiar with, I decided to tell him to ask someone else.
Aya ni nini hukulikubali kuhusu yeye?.... nakusikiliza. Kwasabu wewe ninacho ona unasema tu sikukubalinae vitu flani.. aya ni vipi hvyo?
 
Walker255 we haupo long sighted wala nini we unajaribu kua machono... kwani nani asijua Magu sio mkamilifu apa? Tatizo ni kwamba wanataka kuya chafua ata yale mema aliyo fanya... na inaonekana kabisa. Mkweli ana julikanaga tu na Jpm his one of them.

Yani haiwezekani watoa kasoro baada ya kasoro ata kwa vitu vingine havina mashiko. Kwamfano ishu ya kiwanda cha barakoa. Obviously inajulikana purchasing power ilikuua ndongo but still waka amua waje na kasoro kuna upungufu wa production.

Tatizo watu hatuangali mazuri ya mtu bali mabaya tu. Mtu kafanya mazuri mengi lakini tuna highlight mabaya tu... ndo apo sasa hekima na utashi wa mtu unaujua. Na wewe obviously you don't see that

And I bet unaona mama anapo tupeleka ni pazuri so i can't really convince you otherwise. Saivi kilicho baki tutengeneze hela tu but maswala ya tanzania ya maendeleo na yakuigwa i take pose kdg... mpaka mzalendo mwengine wa kweli aje
 
Hata kama unavyosema ni ukweli kwamba tumezuia mahindi yenu kuingia Kenya bado hainiingi kichwani vipi nyinyi mumeamua kuzuia kila kitu kuingia TZ. Yaani angalau sisi tulizuia mahindi pekee. So wewe unaona kama mko proportional kweli au mnaleta utoto na ubabe?
Yaani wewe unipige kofi halafu unichagulie kwa kurudisha. Napiga panapouma tulia. Vumilia japo waumia

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Tunahitaji strong institutions kwa sasa ambazo zitafanya kazi kwa weledi...hatutaki tena haya yajirudie...Samia hajataka kubeba lawama zisizomuhusu kwenye safari yake
Hmm ndo unavyo jiaminisha hvyo. Kwaio unahisi waliopo saivi ndo watakua watakatifu sio?.. wakina mchemba hao?😂😂😂 oomy... okay lets hope for the best.
 
Bwana wa queen Elizabeth anayeitwa Prince Philip naye kavuta waya. RIP

 
IMG_6702.jpg
 
Saa hii naona wabunge wamepata nguvu ya kupinga na kuongea bila kuogopa. Angalau sasa kuna uhuru wa kuongea.
Tatizo la media zinapotosha ukisikiliza alichoongea ni tofauti na kilichoandikwa Hugo jamaa ni nguli wa minerals the whole of EA! A reason i had to look for the clip! Jamaa kasisitiza diversification of energy sources a thing I whole support him! As a matter of fact kasisitiza more investments in power generation!


Listen to him 👇

 
Hilo daraja la main highway liko wapi? Muache ujinga wakati mwingine muelewe kilichoelezwa na CAG, TANROADS hawana mradi wa kujenga hiyo underpass kuepusha foleni inayosemwa na amesisitiza uanzishwe! kama mradi wa underpass upo leta evidence! Na usilete pedestrian overpass!
Huo mradi ulikua jna phase one and two ulikua bado haujakamilika hata sio phase hawajaukamilisha 100% so naona CAG kafanya haraka kuongea labda nayeye anatafta kiki
 
Back
Top Bottom