Hili group la Kina Kikwete halijaanza leo fitna juu ya baadhi ya viongozi na ni kundi ndani ya CCM linalotaka kuongoza lenyewe kila kona wakati hawana weledi wa uongozi.
2005 tulitakiwa tupate kiongozi Mzuri sana na group lakina Kikwete likiwa na backup ya Group la Lowassa wakamfitini sana na kumtuharibia Tanzania kumpata kiongozi wa hali ya juuu, Dr. Salim Ahmed Salim.
2015 CCM nusura imfie Kikwete nduio kuwealeta wakina Magufuli na kumtosa Lowassa jambo lillilopelekea wawili hawa kuwa mahasimu wakubwa.
Kwakua Lowassa na Kikwete hawaendi na Magufuli alimwalika Lowassa tena CCM, sikia kauli ya Lowassa kuhusu swala hili, kama ataongea.
MY TAKE:
"Kinachofuata sasa, baada ya hii report ya kupika, ni kuwatoa mawaziri karibia wote waliokua wakifanya na Magufuli kwa bunge kumkalia kooni Waziri mkuu ajiuzuru, ili kwenye cabinet ya Mawaziri wapya, wakina Nape, Makamba ndio waingie.
Mama na kundi lake waliona kuwatosa wote watu wangewashangaa, so wakapika hii kitu, kumtoa Waziri mkuu then mawaziri wote ili wale wa kundi lile waingie."