Ni ya kupika logically.
Stendi ya Ubungo inaletaje foleni kwa mfano, wakati bado haijakamilika?
Tatizo lenu, mkisha maliza shule na kua na degree moja or mbili mnaona mmemaliza or mnaakili.
You have to have something extra to be on par with those who perceive what is way beyond your horizons of the moment.
In his 10 years Kikwete kasambaza umeme vijiji 2000, in his 5 years Magufuli kasambaza vijiji 7500.
Ushuhuda wa nmna hii alifanyiwa Yesu akasulubiwa na Baraba mnyang'anyi akaachiwa huru. Alifanyiwa Thomas More Uingereza, alifanyiwa Saddam Hussein, alifanyiwa Gaddafi.
Ushuhuda wote huo ulitolewa na experts wa field husika. Sasa if that sio enough kwa wewe kuhoji hii ripoti, then elimu yako ni ya kununulia mchele.