Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nilikuambia kwamba kila kwenye mgogoro kati ya KE na TZ lazima chanzo ni Kenya. Ninakuhakikishia kwamba njia pekee ya kushughulikia migogoro ya Kenya na Tanzania ni kulipiza kisasi, ninyi wakenya sio watu wa kushauriana nanyi, ninyi ni watu wa hovyo sana.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Magu katuachia falsafa yake dhidi ya nyang'au,wakimwaga mboga tunamwaga ugali,haina kubembelezana hiyo
 
Hata kama unavyosema ni ukweli kwamba tumezuia mahindi yenu kuingia Kenya bado hainiingi kichwani vipi nyinyi mumeamua kuzuia kila kitu kuingia TZ. Yaani angalau sisi tulizuia mahindi pekee. So wewe unaona kama mko proportional kweli au mnaleta utoto na ubabe?
Lengo la adhabu ni kutoa fundisho ili usirudie tena, na kutuma ujumbe kwa wengine wasijaribu kufanya hilo kosa, ndio sababu kosa la wizi wa fedha kiasi cha Shillingi 1M, lazima iwe kubwa kuzidi kiasi ulichoiba, ukimtoza faini ya kiasi hicho hicho alichoiba, hiyo ni sawa na kurudisha, hiyo sio adhabu

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Whats going on here???....... The death of Magufuli is really dividing Tanzanians. Didn't know you guys were such a fickle society!! The guy was a great leader no doubt. But at the end of the day it should be about institutions not individuals so that it does not matter who comes and goes.
 
Nimetafuta hadi nikajua ni nini kinawafanya mtokwe na machozi huku.
Report ya CAG ndio inawakera? Stendi ya Basi ya Mbezi Louis inaongeza msongamano wa magari.



Dar es Salaam. The Controller and Auditor General (CAG) report has said the construction of the new Mbezi-Mwisho Terminal in Dar es Salaam (Magufuli Bus Terminal), was not included in the design and architecture of the road expansion project from Kimara to Kibaha in Pwani region.

The report for the financial year ending June 2020 said the construction of the already operational bus terminal (Magufuli Bus Terminal) would lead to congestion at intersections.

“Based on interviews with TanRoads officials and what we saw, I noted that the Morogoro Road Expansion project is not on track to achieve its goal of reducing traffic congestion due to the construction of Mbezi Mwisho Bus Terminal, ” said the report.

“The construction was started while the expansion project was already underway. Therefore, the bus station was not included in the plan and architectural design of this project.

“Furthermore, the operation of the bus terminal apart from causing traffic congestion could lead to further challenges at intersections joining the Morogoro Road. The bus station is expected to service 700 buses daily. ”

The report says that while TanRoads was developing strategies to expand the road to Morogoro, the Ministry of State in the Office of the President (Tamisemi) and, through the Dar es Salaam City Council, were also planning strategies for the construction of a bus station in Mbezi.

 
🤣 🤣 🤣 Do not be dilusional! Na ndio maana ninakwambia utafute mtu mwenye uelewa wa juu zaidi wa kukueleza kwa nini hiyo stendi italeta foleni. Kwasababu mimi sifahamu haimaanishi kile unachokiamini ni kweli. And no, I won't stop "kushadadia" mengine aliyosema CAG kwasababu mimi sio mwendawazimu kama unavyodhani.

Stand italeta foleni vipi wewe?? Ilivyoongelea CAG ni kuponda Stand kama mradi. Stand italetaje foleni??

Mimi nakuuliza hili swali kwakua wewe unasema italeta foleni, hutoi ufafanuzi wewe unayejua badala yake unanirifaa kwa mtu mwingine, so why ushadadie mambo usiyoyajua?
 
Mkuu, nyakati kama hizi nakushauri usishughulike na misukule kama huo unaoujibu. Kwa mzalendo kama wewe hiki ni kipindi kigumu cha majaribu magumu. Ukiona kuna mwendawazimu anakomalia ujinga mchunie maisha yaendelee.

I have been dealing with these kind of ignoramuses tirelessly for far too long on distinct platforms.

I dearly thank you for your very kind advice. Ila mimi siwezi vumilia ujinga ujinga.
 
🤣 🤣 🤣 Do not be dilusional! Na ndio maana ninakwambia utafute mtu mwenye uelewa wa juu zaidi wa kukueleza kwa nini hiyo stendi italeta foleni. Kwasababu mimi sifahamu haimaanishi kile unachokiamini ni kweli. And no, I won't stop "kushadadia" mengine aliyosema CAG kwasababu mimi sio mwendawazimu kama unavyodhani.


Hili group la Kina Kikwete halijaanza leo fitna juu ya baadhi ya viongozi na ni kundi ndani ya CCM linalotaka kuongoza lenyewe kila kona wakati hawana weledi wa uongozi.

2005 tulitakiwa tupate kiongozi Mzuri sana na group lakina Kikwete likiwa na backup ya Group la Lowassa wakamfitini sana na kumtuharibia Tanzania kumpata kiongozi wa hali ya juuu, Dr. Salim Ahmed Salim.

2015 CCM nusura imfie Kikwete nduio kuwealeta wakina Magufuli na kumtosa Lowassa jambo lillilopelekea wawili hawa kuwa mahasimu wakubwa.

Kwakua Lowassa na Kikwete hawaendi na Magufuli alimwalika Lowassa tena CCM, sikia kauli ya Lowassa kuhusu swala hili, kama ataongea.


MY TAKE:
"Kinachofuata sasa, baada ya hii report ya kupika, ni kuwatoa mawaziri karibia wote waliokua wakifanya na Magufuli kwa bunge kumkalia kooni Waziri mkuu ajiuzuru, ili kwenye cabinet ya Mawaziri wapya, wakina Nape, Makamba ndio waingie.

Mama na kundi lake waliona kuwatosa wote watu wangewashangaa, so wakapika hii kitu, kumtoa Waziri mkuu then mawaziri wote ili wale wa kundi lile waingie."
 
Viongozi wa kiafrika wengi wao hujifanya kuanzisha mega projects but ndio milango kuu ya ufisadi.
UWONGO ndio wanajua na kupumbaza maskini walio wengi,
ATLEAST MWAI KIBAKI was honest ,nakupenda PR Kama Hawa wengine.

Huyu ndiye true Leader,
Wachana na hizi vinyangarika zingine za ujanjaujanja.

Tuige progress ya MAURITIUS OR SEYCHELLES si hizi matakataka zingine.
 
huyu mwandishi anamzingua mama
IMG_1617976191.249942.jpg
 
Magufuli Ameumiza Maelf ya Watanzania
magufuli Ameliza Maelf ya Watanzania
Magufuli Amesononesha Maelf ya Watanzania
Eti leo wanaona hajafanya kitu
mfe muone Kama hamta liliwa na ndugu zenu na matumbo yenu pekee.
Madaraja,Flyover,Mahospital,Barabara,Nidhamu,Stand kila kona.
Uzalendo wake
Mtanzania gani hana macho, Kafa eti anaonekana Hana jema
Kifo cha Magufuli kimetuliza Watanzania na Sioni Kiongozi Kwa Karne hii Atatuliza hivyo
pumzika Mzee Nimeelewa kwanini Ulisema Tukuombee
Mashetani ulikuwa nayo Mfukoni mwako leo ndio yamejitokeza!!
Rais wangu ni Magufuli Milele nitakukumbuka
Pumzika kwa Amani
 
Whats going on here???....... The death of Magufuli is really dividing Tanzanians. Didn't know you guys were such a fickle society!! The guy was a great leader no doubt. But at the end of the day it should be about institutions not individuals so that it does not matter who comes and goes.
If people have different views and opinion in Tanzania you call it division, when it happens in Kenya you call it freedom of expression and free society, hovyo kabisa wewe.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Then i guess we shouldn't believe any body then... kwaio ata mama samia na yeye anaweza akawa anatudanganya..CAG anaweza akawa anapika hizo repoti... si ndo hvyo? Broo stfu unaboa kiukweli.

Kwenye stendi yenyewe ya magu huja fika lakini bado ume amua kuegemea upande wa CAG...tukisema na wewe upo bias uta kata? Swali ni moja pamoja na kujua Jpm hakua mkamilifu do you belive alikua ana taka hii nchi iende pabaya? Navitu vyote hv alivyo fanya vilikua havina umuhimu kwenye hii nchi in a long run?

Yani ukiangalia ata kwenye ndege we all know kupata losses ilikua inevitable. Bado company ni mpya. Na ukijumuisha na huu ugonjwa it's worse lakikini bado watu wanajitoa ufahamu. Kwaio walitaka tusiwe na ndege? Aya wata sema tunge iekeza hiyo hela sehemu nyingine, ni sector gani magofuli hakugusa apa tanzania? Tuwe wakweli tu.

We jama angu unataka kujikuta intellect on how to receive things n how to articulate them lakini common logic na utashi ndo inayo kushinda.

Ndo tuna waita vibendera nyie. Kila kitu anacho ambiwa ye sawa tu.. hu angali outside the box. Hutumi utashi ulio pewa na Mungu.

Hapa umenena mkuu...tunacho angalia nia na mapenzi ya dhati ya kiongozi KWA nchi yake.....even in common sense JPM alikuwa mzalendo....changamoto hazikosekani....nimeshangaa sana jinsi wanavyoponda kwenye issue ya ndege ni kigezo tosha kuwa kunakitu nyuma ya pazia...mimi kinachoniuma zaidi na kunitia wasiwasi ni je awamu hii hasa rais atakuwa mzalendo kama jpm
 
Mimi sidhani kama anashinikizwa. She's part of all this shit. Ila usijali mkuu. Hata wafanye vipi hawawezi kubomoa legacy ya Magu. Ni mwendawazimu tu atakubaliana na upuuzi wao.
Mkuu afu wanasahau kuwa the way wanavyomchafua jpm wanajipa kazi kubwa ya kuyafanya zaidi ya magufuri alicyofanya....kitu ambacho linaweza kuwa kigumu sana kwao..
 
😀 Magufuli Terminal itasababisha foleni, siku zote naona watu wanapost nafikiri ni watu wa maana kumbe ni mabendera
View attachment 1747501
Hilo daraja la main highway liko wapi? Muache ujinga wakati mwingine muelewe kilichoelezwa na CAG, TANROADS hawana mradi wa kujenga hiyo underpass kuepusha foleni inayosemwa na amesisitiza uanzishwe! kama mradi wa underpass upo leta evidence! Na usilete pedestrian overpass!
 
Mkuu mimi ningependa unipe mwangaza nielewe kama Magu alikua fisadi alizifaidi vipi hizo pesa? au aliwafaidisha wengine kwa kuwafurahisha?
Na nikukumbushe kuwa Kikwete alipoingia Madarakani 2005 walitoa report za ufisadi wa Mkapa mara ana 5 star hotel South, alikua anajikusanyia pesa Uswiss n.k.
Sasa hapa kwa Magu kuipika hii report naona kama imekua ngumu kidogo maana jamaa alikua haendi kula bata nje n.k
Mkuu wanajitaidi sana kumchafua ila hawataweza....asilimia kubwa ya ripoti inataja hasara katika taasisi mbalimbali na sivkuwa labda eti magu alijimbikizia mali...KWA mimi hii inaonesha jinsi gani magu alikuwa mzalendo ....pamoja na udhaifu wake, yawezekana kuna watu walikuwa wanampinga...wanataka kumwangusha
 
Magufuli Ameumiza Maelf ya Watanzania
magufuli Ameliza Maelf ya Watanzania
Magufuli Amesononesha Maelf ya Watanzania
Eti leo wanaona hajafanya kitu
mfe muone Kama hamta liliwa na ndugu zenu na matumbo yenu pekee.
Madaraja,Flyover,Mahospital,Barabara,Nidhamu,Stand kila kona.
Uzalendo wake
Mtanzania gani hana macho, Kafa eti anaonekana Hana jema
Kifo cha Magufuli kimetuliza Watanzania na Sioni Kiongozi Kwa Karne hii Atatuliza hivyo
pumzika Mzee Nimeelewa kwanini Ulisema Tukuombee
Mashetani ulikuwa nayo Mfukoni mwako leo ndio yamejitokeza!!
Rais wangu ni Magufuli Milele nitakukumbuka
Pumzika kwa Amani
❤️
 
Back
Top Bottom