ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
ni kweli kabisa hzo zote zifuatazo ni impacts za hayati magufuliMkuu zumekuja baada ya kutengenezwa....so hizo ni impacts za miradi iliyoanzishwa na Jpm
ni kweli kabisa hzo zote zifuatazo ni impacts za hayati magufuliMkuu zumekuja baada ya kutengenezwa....so hizo ni impacts za miradi iliyoanzishwa na Jpm
Juhudi za magufuli leo zinaenda kutimia
Ni vita alipigana hayati magufuli maskini tutamkumbuka kwa vita hvi 🇹🇿🇹🇿🇹🇿Total wameamua kujenga crude oil terminal worthing $1.6 bln!
Munaunda bunduki ushuzi mtupu nchi inatapika madeni sahivi hamuwezi kula chakula bila mkopo sasa hvi 🤣🤣🤣Unacheka nini? Angalau sisi tunaunda bunduki yetu badala ya kuimport kama nyinyi.
ASA nyie mnapigana na UK kwa lipi? Labda kwa mfano🙂 Mnawaitaji UK mara Mia Zaid ya wanavyowategemea nyinyi hapo wazee wa kujipendekeza😏Saa hii Kenya inapigana na UK. Hao sio marafiki zetu.
Sisi mbona tunatengeneza artillery zetu?Unacheka nini? Angalau sisi tunaunda bunduki yetu badala ya kuimport kama nyinyi.
Mkuu achana nae huyoaliyekuambia mimi mnyarandwa ni nani?kwahiyo unataka kuniambia hiyo picha uliyoweka ndo wewe mwenyewe?
Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
Unacheka nini? Angalau sisi tunaunda bunduki yetu badala ya kuimport kama nyinyi.