Vf-successfully
JF-Expert Member
- Oct 25, 2017
- 252
- 166
Eti kisa kukataa biashara yao ya vaccine
No comment mzee baba, nikiachana na utani wetu wa kila siku kw kweli kifo cha magu kilinigusa sanq kusema ukwel..
Sure, maana mpaka Magu anamchagua huku akijijua ana matatizo ya moyo mda mrefu alijua fika anapaswa kuchagua vice president atakaepambania ndoto zake. Mwenyezi Mungu amjalie nguvu Madam President asitikiswe na chokochoko za wendawazimukaka wala usisonone bali uwe na moyo mkuu. Magu atabaki kua my iconic president.. Tanzania hatutarudi nyuma.. naamini mama samia pia atakua na jicho na upeo wa mzee magu hili nakuhakikishia kaka.
Hakuna mkuu magu hakujua kifo wamemuua wazunguSure, maana mpaka Magu anamchagua huku akijijua ana matatizo ya moyo mda mrefu alijua fika anapaswa kuchagua vice president atakaepambania ndoto zake. Mwenyezi Mungu amjalie nguvu Madam President asitikiswe na chokochoko za wendawazimu
🤦♂️Hakuna mkuu magu hakujua kifo wamemuua wazungu
Nimelia sana mkuu usiku woteDaah aisee mm waswas wangu je miradi aliyoianzisha itakamilishwa![]()
Da kweli ni mtu wa mungusiku ya kuchaguliwa mvua ilinyesha, siku ya kifo mvua imenyesha![]()
Mnajitaka au kajifunzeni kwa walioshinda si kwa walioshidwa ndio muijaribu Tz.Nimekuwa nikiwatch video ya kesi ya Kenya vs Somalia kwenye korti. Natoa predictions mbili. Ya kwanza ni kuwa Somalia itashinda, based on defense mzito sana ambayo wametoa. Pili napredict kwamba Kenya itaipeleka Tanzania katika mahakama hii hii ili kuredraw boundaries kati ya nchi hizi mbili. Hapa hakuna cha urafiki wala nini. Lisilo budi hutendwa. Tukutane mahakamani soon majirani.