Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mnachora mistari ya BRT au co? Vp petition nawe umehusika? Alafu hii petition mngestuka mapema sizani km mngekuwa na huyu tembo mweupe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Utajua hujui,,BRT project is real in Kenya,
 
More of expressway 27 km 35% done
20210331_152659.jpg
20210331_152659.jpg
20210331_152659.jpg
20210331_153010.jpg
20210331_152659.jpg
20210331_152859.jpg
 
Huku maskini wa mathare mkishindwa kupita kwa toll fee ya kinyonyaji, anyway gud night [emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji117][emoji1139][emoji1139][emoji117][emoji3545][emoji3545][emoji3545]
Hio ni optional,,if hutaweza kulipa expressway utatumia the current road na hakuna yeyote atakuliza swali😁
 
Wakenya nao wanakwambia wanajenga BRT yao inaitwa "hidden BRT" yn haionekani ikijengwa ila inajengwa, yn majengo na expressway vinaonekana vikijengwa ila brt haionekani lkn mtaiona ikiwa imekamilika [emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205][emoji86][emoji86][emoji3545][emoji3545]

umeiweka kitaalam sana hii
 
BRT ya bus au baiskeli itakua ikipita kwenye hizo narrowed Island?

Wakati BongoTunajenga BRT lanes Mwaka 2015 , Hili bus ndio lilitumika kujaribishia Barabara . Na tukaambiwa yatakua haya. Lakini yakanunuliwa Mengine. So nina uhakika na hao watanunua Yatakayowafaa. Umegundua humu pia tulionyeshwa mabus wameshanunua yapo SA yameandikwa Namata?

Ona MAN Bus kabla ya Jinlong.

IMG_6653.jpg

IMG_6654.jpg
 
Wakati BongoTunajenga BRT lanes Mwaka 2015 , Hili bus ndio lilitumika kujaribishia Barabara . Na tukaambiwa yatakua haya. Lakini yakanunuliwa Mengine. So nina uhakika na hao watanunua Yatakayowafaa. Umegundua humu pia tulionyeshwa mabus wameshanunua yapo SA yameandikwa Namata?

Ona MAN Bus kabla ya Jinlong.

View attachment 1746357
View attachment 1746358
Nmeskia kuna kampuni mpya inakuja na mabasi yake 300 na huyu udart anapigwa chini
 
Back
Top Bottom