kikihboy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 2,812
- 3,168
Hizo ni stations zanajengwa,, Buses zitakuwa na dedicated lanesBRT ya bus au baiskeli itakua ikipita kwenye hizo narrowed Island?
Hizo ni stations zanajengwa,, Buses zitakuwa na dedicated lanesBRT ya bus au baiskeli itakua ikipita kwenye hizo narrowed Island?
Nmeskia kuna kampuni mpya inakuja na mabasi yake 300 na huyu udart anapigwa chini
does introducing in Kenyan market mean the buses have been bought up by BRT
Ni English huelewi ama??hizo Buses Ni za BRT Kenyadoes introducing in Kenyan market mean the buses have been bought up by BRT Kenya?
hapo nimekupataHii inaenda Kuunganisha Na ile Kawawa BRT lanes inayotoka Morocco na Kimara pale Magomeni.
Udart kafeli Sanaa mabasi machache sana ndio maana kuna hatihati kuongezewa mkatabamkuu unajua gharama ya mabas 300? kampuni gan iwekeze hela kwa biashara hii? si bora afanye kusafirisha abiria mikoan?
anyway, hii biashara ya udart ikoje? serikali inafaidika vip mana miundombinu inajenga serikali
SerikalI inakusanya ushuru tuu kwa kila tiketimkuu unajua gharama ya mabas 300? kampuni gan iwekeze hela kwa biashara hii? si bora afanye kusafirisha abiria mikoan?
anyway, hii biashara ya udart ikoje? serikali inafaidika vip mana miundombinu inajenga serikali
Kwa sababu magonjwa mengineyo yame-staff kuua...He is dead because of coronavirus and he ain't coming back. Deal with it whichever way makes you sleep better at night
Wakati huohuo wakenya 30,000 wanakufa kwa kuharisha..!!!Kila anaekufa ni corona?? Na haya maradhi mengine hayapo kuna maradhi zaidi ya 500 na hayo hayauwi wala hayapo ni sawa?
In short, wabongo tujiandae kwa vaccine...
Mission completed
Matibabu bora yapi wakati wakenya wafa kwa kuharisha tu...Mnachoogopa kusema ni kuwa Kenya ina matibabu bora kushinda nchi yoyote hapa Africa Mashariki. By the way sio kweli kwamba Tundu hakutibiwa Dodoma kwa sababu ya usalama. Hospitali ya kwanza ambayo Tundu Lissu alifikishwa ni hospitali ya Dodoma alipofanyiwa matibabu ya dharura ikiwemo kuongezewa damu na mambo mengine lakini ilipofahamika kwamba hali yake ilikuwa inazorota na kwamba alihitaji upasuaji wa hali ya juu ikabidi aletwe kwenye superpower wa eneo hili ili kufanyiwa upasuaji. Akakaa hospitalini kwa zaidi ya mwezi moja hadi akapona. Halafu mnakuja huku kuongea matope.
😂😂😂😂
Ila china wana roho mbaya sana, wao wanatrains za kisasa model nyingi but wakaamua wawape kenya model ya zamani. Wangewapa hata model ya 40 years ago but wamewapa ya 60+ years ago. Hili swala nimeliona kama kumjengea nyani banda la mitiKwani hushangai hata treni muliochukua spain treni zimetumika spain miaka 30 ndio munanunua nyinyi vyuma chakavu alaf utasema munakwenda mbele na dunia 🤣🤣🤣🤣 unasahau SGR mchina alivowafanya na ahadi hii munaikumbuka
View attachment 1746101
Hakuna barabara ya BRT kwenye hizo ongoing construction sites, hiyo ni mitaro inawekwa zege sababu hakuna bus litaweza kupita hapo.Hizo ni stations zanajengwa,, Buses zitakuwa na dedicated lanes
View attachment 1746389View attachment 1746390View attachment 1746391
😁😁😁 na hio train waliopewa na mchina unaambiwa cost of maintenance ni motoIla china wana roho mbaya sana, wao wanatrains za kisasa model nyingi but wakaamua wawape kenya model ya zamani. Wangewapa hata model ya 40 years ago but wamewapa ya 60+ years ago. Hili swala nimeliona kama kumjengea nyani banda la miti