Kwasababu alikua na emergency case ni lazma atafute sehemu ambayo ipo karibu kwake uganda ni mbali sana kutoka dodoma ni over 2 and ahalf hours wewe vp hukusoma geography mzee 🤣🤣🤣🤣Ni sawa lakini hujajibu mbona mumlete mahali ambapo matibabu hususan ya upasuaji ni mbaya? Si huwa mnasema huduma ya matibabu Kenya ni mbaya? Mbona msingempeleka Uganda basi ambako ni karibu?
Ni vyema ilo swali ukawaulize chadema ..mm sio msemajiMbona hakupelekwa Uganda? Uganda pia kuna usalama wa hali ya juu na ni karibu na TZ.
Samia Suluhu Hassan anatokea CCM na anatekeleza ilani ile ile ya chama, kinachokufurahisha wewe ni pale anapoanza kuandaa mazingira ya wewe kumpigia kura 2025 kwa kukuambia kile unachotaka kusikia ila fahamu kwamba yale yale aliyoyaanzisha mtangulizi wake ndiyo yale yale anaenda kuyatimiza utake usitake na hakuna chama kingine kitakacho ongoza hii nchi zaidi ya CCM mpk mm na ww tutakapokuwa tumekufa km hutaki hama nchiMataga wa humu mpo? Tunaenda opp kabisa na the deseased Jiwe







Flyover za kupanga matofali kwenye ubora wake
Mnachoogopa kusema ni kuwa Kenya ina matibabu bora kushinda nchi yoyote hapa Africa Mashariki. By the way sio kweli kwamba Tundu hakutibiwa Dodoma kwa sababu ya usalama. Hospitali ya kwanza ambayo Tundu Lissu alifikishwa ni hospitali ya Dodoma alipofanyiwa matibabu ya dharura ikiwemo kuongezewa damu na mambo mengine lakini ilipofahamika kwamba hali yake ilikuwa inazorota na kwamba alihitaji upasuaji wa hali ya juu ikabidi aletwe kwenye superpower wa eneo hili ili kufanyiwa upasuaji. Akakaa hospitalini kwa zaidi ya mwezi moja hadi akapona. Halafu mnakuja huku kuongea matope.Kwasababu alikua na emergency case ni lazma atafute sehemu ambayo ipo karibu kwake uganda ni mbali sana kutoka dodoma ni over 2 and ahalf hours wewe vp hukusoma geography mzee 🤣🤣🤣🤣
Wapi ni karibu naomba utumie akili ya maziwa ya mama 👇👇👇👇
View attachment 1746022
Nairobi ni karibu zaidi kutokea Dodoma.
Watu wanakwenda mbele nyinyi munarudi nyuma miaka 30😁😁😁 alaf badae mutasema nnFly over is fly over nothing major
Ulisema nani katili Tony254
Hvi kuna watu wakatili kama wakenya ukanda huu wa east africa hebu just be frank, na hakuna nchi wananchi ni wakarimu kama watanzania hio nakwambia wazi kabisaWewe umeanza kuwa kama Geza Ulole. Umeanza kuwa addicted na habari kutoka Kenya. Unaamka asubuhi unapiga staftahi na kuanza kusearch mambo ya Kenya kwenye google.
Hvi kuna watu wakatili kama wakenya ukanda huu wa east africa hebu just be frank, na hakuna nchi wananchi ni wakarimu kama watanzania hio nakwambia wazi kabisa
Karibu tulikumissNiliita mtu ms*nge. Nikala ban ya siku mbili. Sikujua mods huku hawapendi jina hilo.
View attachment 1745601
Cc Geza Ulole joto la jiwe
Simon
Watanzania msitumie jina hilo. Mods hawalipendi.