Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Msiba
Magufuli: Mwekezaji akiwekeza, zile kazi zinazoweza kufanywa na watanzania wapewe watanzania

Samia: Mtu anawekeza mnalazimisha aweke Mtanzania, kila mwekezaji ana haki ya kuweka mtu anaemwamini yeye, kwann umlazimishe?

SA wenzetu wanapigania wafanye kama alivyokuwa anafanya Magu, ila Samia anataka kufanya kinyume chake

asee
 
Kuna watu wanataka kuifananisha hii plan na ya USA wakisahau kuwa USA ilikua tayari imeendelea kitechnologia na hiyohiyo style yao ndio iliyofanya wachina wakaweza kucopy, so USA waliloose na ndio maana mchina anakuaga sana mchoyo linapokuja swala la new technology. Sasa kwa nchi inayokua kama TZ inatakiwa uwape nafasi watu kukua, kama umewekeza sehemu inanyotakiwa techology flan ni lazima uwatrain wenyeji ili wafanye kazi, sasa ukitoa nafasi ya kuleta watu wao tunapoteza chance ya kujifunza kutoka kwao, tunawapa ajira. Nafirikiri kina sisi Software Engineers Geza Ulole itabidi tujikite kwenye kubuni new ideas kuliko kuajiriwa, wahindi na wengineo watamiminika kama utitiri
 
Take loan from juma to pay debt of asha 🤣🤣 interest juu ya interest sijui nani aliwaroga

B89FE619-9F8B-40BD-8BD8-48561E7CB1F0.jpeg

Back
Top Bottom