Wewe hukumuelewa rais wako vizuri. Rais anaongea kuhusu nafasi chache za juu. Yaani anazungumza kuhusu CEO na MD. Mwekezaji ana haki ya kuchagua ni nani atasimamia investment yake. Huwezi kuleta kifua kwenye mambo haya. Nahisi alikuwa anazungumza kuhusu Sylvia Mulinge wa Vodacom mlipompiga chini kwa sababu yeye ni Mkenya na mna chuki kali sana dhidi ya Kenya. Rais Samia mwenyewe alisema kwamba nafasi ndogo ndogo au hata mid-level management zinaweza kupewa Watanzania. Ila nafasi ya CEO tafadhali mwachie mwekezaji achague nani atasimamia biashara yake. Ila nyinyi yahe wa kazi ya mikono na wala hakuna shida mkipewa kazi au kukaza boriti na spana.Kuna watu wanataka kuifananisha hii plan na ya USA wakisahau kuwa USA ilikua tayari imeendelea kitechnologia na hiyohiyo style yao ndio iliyofanya wachina wakaweza kucopy, so USA waliloose na ndio maana mchina anakuaga sana mchoyo linapokuja swala la new technology. Sasa kwa nchi inayokua kama TZ inatakiwa uwape nafasi watu kukua, kama umewekeza sehemu inanyotakiwa techology flan ni lazima uwatrain wenyeji ili wafanye kazi, sasa ukitoa nafasi ya kuleta watu wao tunapoteza chance ya kujifunza kutoka kwao, tunawapa ajira. Nafirikiri kina sisi Software Engineers Geza Ulole itabidi tujikite kwenye kubuni new ideas kuliko kuajiriwa, wahindi na wengineo watamiminika kama utitiri
Kwani India hakuna usalama? Sikuelewi.Lisuu ilikua lazma aje hapo kwasababu ni mpinzani hata kama ingekua odinga katungwa risasi lazma angeletwa nchi jirani kwa usalama wake kwanza
Kwa situation aliokua nayo ilikua ni lazma atafuta tiba karibu na ya haraka ndio maana baadae akapelekwa belgiumKwani India hakuna usalama? Sikuelewi.
Sasa kama ilibidi atafute tiba kwa haraka hususan tiba ya upasuaji maana alikuwa ametobolewa mashimo kwenye miguu na kiuno mbona wasingempeleka South Africa ambayo ni masaa machache kutoka Tanzania? Mbona wamlete Nairobi ilhali kama mlivyosema Kenya hakuna matibabu mazuri? Kenya matibabu yetu ni mbovu sasa aliletwa huku kufanya nini?Kwa situation aliokua nayo ilikua ni lazma atafuta tiba karibu na ya haraka ndio maana baadae akapelekwa belgium
Kenya na south africa wapi ni karibu hvi wewe mbona hata akili ya kufkiri dakika mbili huna, kutoka dodoma kwenda nairobi ni 1hr time kutoka dodoma kwenda south africa ni almost 4 to 5 hrs time so wapi ni karibu kwa tiba ya harakaSasa kama ilibidi atafute tiba kwa haraka hususan tiba ya upasuaji maana alikuwa ametobolewa mashimo kwenye miguu na kiuno mbona wasingempeleka South Africa ambayo ni masaa machache kutoka Tanzania? Mbona wamlete Nairobi ilhali kama mlivyosema Kenya hakuna matibabu mazuri? Kenya matibabu yetu ni mbovu sasa aliletwa huku kufanya nini?
Hata yule mpinzani wa Putin walidai alipigwa walimpulizia sumu alienda tibiwa nje ya urusi . Na karudi kapewa kesi kafungwaLisuu ilikua lazma aje hapo kwasababu ni mpinzani hata kama ingekua odinga katungwa risasi lazma angeletwa nchi jirani kwa usalama wake kwanza
Ni sawa lakini hujajibu mbona mumlete mahali ambapo matibabu hususan ya upasuaji ni mbaya? Si huwa mnasema huduma ya matibabu Kenya ni mbaya? Mbona msingempeleka Uganda basi ambako ni karibu?Kenya na south africa wapi ni karibu hvi wewe mbona hata akili ya kufkiri dakika mbili huna, kutoka dodoma kwenda nairobi ni 1hr time kutoka dodoma kwenda south africa ni almost 4 to 5 hrs time so wapi ni karibu kwa tiba ya haraka
Ilo swala la yeye kuja kenya ilikuw ni kutokana na mamuzi ya chama juu ya usalama wa muhusika...sasa nashindwa kuelewa nini kinafany ufananishe hizi mada mbili tofauti kabisa?Kwa hivyo Tundu Lissu alienda India wasiojulikana walipompiga marisasi?
Elewa bwana ilikuwa ni sababu za usalama wa muhusik ukizingatia mtekelezaji wa tukio alikuw hajulikan...so angewez plot anything pale dodomaSasa kama ilibidi atafute tiba kwa haraka hususan tiba ya upasuaji maana alikuwa ametobolewa mashimo kwenye miguu na kiuno mbona wasingempeleka South Africa ambayo ni masaa machache kutoka Tanzania? Mbona wamlete Nairobi ilhali kama mlivyosema Kenya hakuna matibabu mazuri? Kenya matibabu yetu ni mbovu sasa aliletwa huku kufanya nini?
Mbona hakupelekwa Uganda? Uganda pia kuna usalama wa hali ya juu na ni karibu na TZ.Elewa bwana ilikuwa ni sababu za usalama wa muhusik ukizingatia mtekelezaji wa tukio alikuw hajulikan...so angewez plot anything pale dodoma
Nairobi ni karibu zaidi kutokea Dodoma.Mbona hakupelekwa Uganda? Uganda pia kuna usalama wa hali ya juu na ni karibu na TZ.
Ni mby ndiyo we huoni ikabidi awaishwe Belgium.Ni sawa lakini hujajibu mbona mumlete mahali ambapo matibabu hususan ya upasuaji ni mbaya? Si huwa mnasema huduma ya matibabu Kenya ni mbaya? Mbona msingempeleka Uganda basi ambako ni karibu?
Alipelekwa Belgium baada ya kukaa Nairobi hospital kwa zaidi ya mwezi moja. Hata aliletwa akiwa hali mahututi na akaondoka hospitalini akiwa anazungumza. Akiwa anakaa chini kwenye wheel chair. Hata aliita press conference ya wanahabari kabla ya kuondoka hospitalini. Belgium alienda kufanyiwa physiotherapy ili ajifunze upya kutembea pamoja na plastic surgery kuficha alama alizopata. Yaani matibabu ya kuokoa maisha yake ikiwemo upasuaji wa dharura ulifanyiwa Nairobi.Ni mby ndiyo we huoni ikabidi awaishwe Belgium.