Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,866
- 19,252
"Najua tuna ubia na Barrick kupitia Twiga (kampuni ya madini) lakini ndani yake changamoto ni nyingi kuna masuala ya kodi hayajakaa vizuri, kuna masuala mengine hayajakaa vizuri. Tusifike mahali tukaoneshana misuli sisi ndiyo wahitaji ," Rais Samia Suluhu Hassan
Ama kweli 2 sio 1
Hapo Magu angewakoromea mpaka wangekaa, mama anasema tuwapigie magoti tu, sisi maskini 😭😭😭😭😭 tunakukumbuka Magufuli
Ama kweli 2 sio 1
Hapo Magu angewakoromea mpaka wangekaa, mama anasema tuwapigie magoti tu, sisi maskini 😭😭😭😭😭 tunakukumbuka Magufuli