Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa kiasi fulani wote tunategemeana. Wao wawekezaji wanahitaji kufanya biashara kwetu na sisi tunategemea uwekezaji wao kupata Ajira na serikali kupata revenues. Tayari mama ameshasema tuna ubia na Barrick na bado anatambua umuhimu wa kufanya nchi iwe na favorable business environment. Kodi kali zinafanya nchi ipoteze wawekezaji wengi. Mabavu yatakusaidia wapi pale makampuni ya wawekezaji yakiondoka? Na wawekezaji unajua wanaenda wapi wakiondoka Tanzania? Kenya! Kuna biashara za horticulture Arusha zimekufa na kuhamia kenya kwasababu kodi zimezidi kuwa kubwa sana. Unavyosema Magu kuwakoromea labda unamaanisha nini? Kwamba Angeongeza Kodi?
Magufuli siku zote alikua anapambania kodi zipunguzwe ila watendaji wake ndio walikua wanamuangusha mfano mzur kwenye sekta ya madini na utalii mapato yalikua yanaongezeka rapidly kwa aababu ya kupunguza kodi na usimamizi mzur
 
Tatizo ninaloliona hapa ni kuwa watu bado hawajamuelewa mama. Kwa akili ya kawaida ninavyoona juhudi anayofanya sasa ni kuongeza FDI inflows nchini. Nadhani tulikuwa tunaanza kupoteza wawekezaji wengi kutokana na kodi pamoja na deteriorating business climate. I’d say mpeni muda. Ndio kwanza reforms zake anazianzisha na hazijaanza kuonyesha results.
 
This is exactly what I’ve been talking about all along
90C515E5-6A98-4E2A-9B3D-B9E54E876E0F.jpeg
 
This is exactly what I’ve been talking about all along
View attachment 1745055
Mradi tu wa Bomba la mafuta Magufuli aliolitoa Kenya Kuja Tanzania huyu mama hata angepewa miaka 10000 asingeweza

TRA ilitoka kukusanya 800B mpaka 1.3T per month, sijui ni kodi gani hizo na investments gani zinaongelewa hapo!

Huyu mwanamke uwezo wake ni mdogo sana and it's official.
 
Tatizo ninaloliona hapa ni kuwa watu bado hawajamuelewa mama. Kwa akili ya kawaida ninavyoona juhudi anayofanya sasa ni kuongeza FDI inflows nchini. Nadhani tulikuwa tunaanza kupoteza wawekezaji wengi kutokana na kodi pamoja na deteriorating business climate. I’d say mpeni muda. Ndio kwanza reforms zake anazianzisha na hazijaanza kuonyesha results.
Tulikua tunapoteza wawekezaji uchwarauchwara swali langu mbona mapato yalikua yanaongezeka, mbona nchi kama ug na Rwanda walibadlisha maaumuzi yao mfano bomba la gesi na sgr na mengine mengi wawekezaji gani hao ambao kweli walikua wanania tukawapoteza
 
😂😂😂😂 kwamba “wawekezaji uchwara?” Kwa hiyo unadhani Tanzania SGR na Bomba la gesi Ndio uwekezaji unaoleta revenues peke yake? Acha utani!
 
Kwa kiasi fulani wote tunategemeana. Wao wawekezaji wanahitaji kufanya biashara kwetu na sisi tunategemea uwekezaji wao kupata Ajira na serikali kupata revenues. Tayari mama ameshasema tuna ubia na Barrick na bado anatambua umuhimu wa kufanya nchi iwe na favorable business environment. Kodi kali zinafanya nchi ipoteze wawekezaji wengi. Mabavu yatakusaidia wapi pale makampuni ya wawekezaji yakiondoka? Na wawekezaji unajua wanaenda wapi wakiondoka Tanzania? Kenya! Kuna biashara za horticulture Arusha zimekufa na kuhamia kenya kwasababu kodi zimezidi kuwa kubwa sana. Unavyosema Magu kuwakoromea labda unamaanisha nini? Kwamba Angeongeza Kodi?
Good thing kuhusu Magu he was unpredictable ... alijua hawezi kosa advantage kwenye kitu chochote ali plan kufanya.... yani hakua na only one solution to a problem. Kama plan A haito work then we move to plan B and that if it doesn't work then he on to the next plan...we unathani hakuona hizo set backs zote ambazo zingekuja na the way he behaved na mabeberu? U best understand kwamba hakua that shallow!!.. Alimini hakuna kitu kina shindikana endapo una nia na una mtanguliza MUNGU mbele.... we hujiulizi na ujeuri wake wote ule kwa mabeberu na bado alikua ana prosser? Alijiamini... GUTS my friends. Hiyo ndo karama alikua nayo. N that should be a lesson to all TANZANIA'S
 
Mradi tu wa Bomba la mafuta Magufuli aliolitoa Kenya Kuja Tanzania huyu mama hata angepewa miaka 10000 asingeweza

TRA ilitoka kukusanya 800B mpaka 1.3T per month, sijui ni kodi gani hizo na investments gani zinaongelewa hapo!

Huyu mwanamke uwezo wake ni mdogo sana and it's official.
Uko myopic kwenye mambo ya uchumi. Hili Ndio jambo ninalolizungumzia. Ni furaha kuonekana kuwa kodi zinakusanywa nyingi kupita miezi mingine lakini unafahamu biashara ngapi zinakufa kutokana na ukusanyaji huo wa kodi? Na biashara zikifa unadhani ukusanyaji wa kodi utaendelea kuwa mzuri au mbaya?

Halafu kuhusu bomba la mafuta, unafahamu ni sababu gani bomba lilihamishiwa kutoka Kenya kuja Tanzania? Kwasababu route ya Tanzania ina gharama ndogo za ujenzi kuliko route ya Kenya na Tanga port tayari inafanya kazi tofauti na Lamu port ambayo bado inajegwa. Halafu pia bandari ya Lamu ipo karibu na Somalia, kulikuwa kuna hofu ya uvamizi wa Al-Shabab!
 
Good thing kuhusu Magu he was unpredictable ... alijua hawezi kosa advantage kwenye kitu chochote ali plan kufanya.... yani hakua na only one solution to a problem. Kama plan A haito work then we move to plan B and that if it doesn't work then he on to the next plan...we unathani hakuona hizo set backs zote ambazo zingekuja na the way he behaved na mabeberu? U best understand kwamba hakua that shallow!!.. Alimini hakuna kitu kina shindikana endapo una nia na una mtanguliza MUNGU mbele.... we hujiulizi na ujeuri wake wote ule kwa mabeberu na bado alikua ana prosser? Alijiamini... GUTS my friends. Hiyo ndo karama alikua nayo. N that should be a lesson to all TANZANIA'S
Sijapinga Methods za Magufuli hata kidogo. Na alikuwa kiongozi mzuri kuhakisha rasilimali zinanufaisha watanzania. Lakini ngoja nikuulize Swali. Unasema kwamba siku zote Magufuli alikuwa na Plan B. Unadhani kwenye suala la kuzorota kwa hali ya uwekezaji alikuwa na plan gani up his sleeve??
 
Dah ndio maana dunia inatia hofu sana kwa mwanamke kukalia kiti cha uongozi hofu ya utegemezi inawajaa sana wanawake sio kwamba wanawake wachache wanaweza kuwa strong hapana ukiona mwanamke anakuwa strong ujue alishapat maumivu makali

Mungu ampe nguvu ila pengo tushaanza liona taratibu
Nimesikia anasema atafuatilia swala la covid na kufuata ushauli wa wataalam hapo tujiandae kwa lolote naona kufungiwa ndani kuna kuja kwa speed

upendo wa JPM kwa watanzania tutaumiss
 
Sijapinga Methods za Magufuli hata kidogo. Na alikuwa kiongozi mzuri kuhakisha rasilimali zinanufaisha watanzania. Lakini ngoja nikuulize Swali. Unasema kwamba siku zote Magufuli alikuwa na Plan B. Unadhani kwenye suala la kuzorota kwa hali ya uwekezaji alikuwa na plan gani up his sleeve??
Toa fact wa hao wawekezaji walio kimbia sio maneno mzee kama wakinakigogo
 
Iyo ni mifano na nmekuuliza swali simple mbona mapato yalikua yanaongezeka kama tulikua tunapoteza wawekezaji
huyu alikua anti Magufuli ndo maana hata kuna kipindi akaamua awe kando na jukwaa anyway najua yapo mazuri mama atafanya kama ambavyo awali nilisema kua watu wa Zanzibar ni waungwana sana tatizo lipo huku anakowafanyia uungwana maana watamfelisha asipowakazia.

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 
Iyo ni mifano na nmekuuliza swali simple mbona mapato yalikua yanaongezeka kama tulikua tunapoteza wawekezaji
Mapato ya kodi yanaongezeka kwasababu makato ya kodi ni makubwa. Lakini kwa mwenendo huu kutakuwa na decline ya ukusanyaji wa kodi.
 
Back
Top Bottom